MRADI WA KUPELEKA UMEME MGODINI STANGOLD.
Mh mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra Chilewesa wakati wa kampeni aliarifiwa kuwa mgodi wa dhahabu wa STANGOLD wana tatizo kubwa la uhaba nishati na...
Ansbert Ngurumo, moja ya magwiji wa habari na uchambuzi ameonyesha kuwa na mashaka kwamba kwa nini Lissu ameibuka na wimbo wa CCM katika kutangaza nia.
Mwandishi huyo amesema kwamba inawezekana...
Tanzania inakaribia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, huku ikikabiliwa na changamoto kubwa za miundombinu, hasa barabara. Hali hii inatishia maendeleo ya kiuchumi na kijamii, na inahitaji umakini wa...
Wakuu,
Hili suala la watu maarufu kutaka kuwa wabunge na kuacha kazi walizonazo naona huyu jamaa ameielezea vizuri sana.
Huyu ni Wakili anaitwa Emmanuel Ukashu ameelezea kwanini watu maarufu...
Wote wameondoka kwa shinikizo kwa habari za ndani. Hawa ndiyo walikuwa viongozi wa juu kabisa
Makaumu wa Raisi Mpango
Waziri Mkuu Majaliwa
Spika Ndugai
Kama alikuwa anataka kuoindua serikali alete vita nchini basi anyongwe anyongwe haraka
Kama alikuwa anapindua atutawale kama tutawalivyo na ccm mpeni nchiii tuna mtaka
Tunachoka wananchi
Nimeshangaa sana mtia nia mmoja huko Chato anajinasibu juu ya hii plan.
Eti mizigo ya kwenda Burundi, Drc na Afrika ya kati ipitie Chato kwenye bandari ya Nyamirembe kupitia Mwanza kwa njia ya...
Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia...
Serikalini huwa kuna watu wenye mambo ya ajabu ,
Ukimuangalia Mwanasheria wa serikali na ukamuangalia hakimu unabaki kucheka kuwa huyu nae eti ni hakimu!
Wale jamaa wana upeo mdogo Sana unaweza...
Swali la nyongeza mheshimiwa Polepole: Awamu yako mliwasajili wahuni wangapi?
Katika utawala wa Rais Magufuli na mama Samia awakufanikiwa kushughulika na wahuni, kwahiyo tumebaki nao.
Uhuru wa mfumo wa haki ni moja ya kigezo muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa lolote lile.
Ukipima kwenye mzani, mataifa yaliyo na mfumo huru wa haki yameonesha kuwa na maendeleo ya uhakika...
Wakuu!
Naona kumeanza kuchangamka...
Umoja wa Wanawake (UWT) Kata ya Busanda, GEITA waandamana hadi ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakilalamikia mchakato wa mchujo wa awali wakupitisha...
Kauli mbiu ya "No Reform, No Election" (Hakuna Mageuzi, Hakuna Uchaguzi) hutumiwa na makundi ya kijamii au kisiasa kupinga kushiriki katika uchaguzi hadi pale mageuzi ya kisiasa, kisheria, au ya...
Amefanya maamuzi ya maana sana kujiuzulu lakini kati ya watu mapepe wa kuogopa ni polepole. Alijiona Mungu mtu wakati wa Magu na kunyanyasa watu sana.
Alitaka nankuchangia kudumiza democracy...
Kamati ya Siasa Mkoa na Kamati ya Maadili Taifa imepitisha wafuatao kugombea Ubunge Tarime mjini na vijijini. Vikao vya Kamati Kuu vinatarajia kubariki. Majina hayo ni yafuatayo na yamepewa namba...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara John Heche ametoa wito kwa wafuasi wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla wake kuungana pamoja katika kuhakikisha...
Hello wana Jamii,
Niende kwenye Mada/ Kero.
Nauliza maswali Kwa hawa viongozi wetu wa Chama hivi Wana- CCM mnawachukuliaje ?
Kuna watu wanakula Upinzani wakiona hakuna Maisha wanakimbilia CCM na...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu, amesema "Leo ni siku ya 97 niko Mahabusu na wafungwa waliohukumiwa Kifo nimechoka na hizi habari" wakati akijitetea...
Nimefuatilia kwa makini kesi ya Lisu leo, kama kungelikuwa na free and fair judiciary, Hakimu Leo hii, angelimuachia Lisu.
Ame cite case zenye guvu ya kisheria sawasawa.
In DPP V. Yahaya Upanga...