Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nilikuwa najiuliza Pamoja na; Mabango yote nchi nzima Fedha zote za miradi zimetoka kwa mama Machawa kila kona ya nchi Maendeleo yote haya mpaka tumezishinda nchi za Ulaya Kulikuwa na haja gani...
16 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania...
0 Reactions
13 Replies
592 Views
Hakika Mungu ni mwema, baada ya miaka mingi kupita sasa walimu wameanza kuelewa na kutumia elimu yao kwa ajili ya manufaa ya Taifa zima. Hii imetokea kwa kukataa na kugoma kujishughulisha na...
9 Reactions
62 Replies
3K Views
Hakuna anayeweza kutoa ushauri huu kwa sababu ambao wangemshauri wanafaidika na mfumo, wamejizima data wala hawaoni Mambo yanaenda ndivyo siyo, hawaoni majirani zetu wanavyopata taabu kurudisha...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Wahenga walishasema ya kuwa Ukitaka kuruka angani agani kwanza na nyonga . Lissu Aliruka angani bila kuagana na nyonga ,bila kujua ni vipi atatua chini ,ni wapi...
-1 Reactions
93 Replies
4K Views
6 Reactions
11 Replies
814 Views
Vijana wa umri wa 30s ambao wanajipambanua kiuchumi kwa ujasiriamali then from No where wanapewa kesi za uhujumu uchumi. Hivi hili rika letu lina nini cha kuhujumu nchi? Kijana ndo kwanza...
20 Reactions
84 Replies
4K Views
Hivi hawa Chadema kusema uchaguzi usifanyike hadi Reforms zifanyike ili uwe uchaguzi wa HAKI NA HURU ni kosa? Sasa ona masahibu wanayopitia. Viongozi wao wanatekwa,kuuawa, kushambuliwa, sasa hivi...
15 Reactions
25 Replies
1K Views
Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano Pembezoni mwa Mkutano wa 47 wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika na Mkutano wa Saba wa Umoja wa Afrika wa Uratibu, Waziri wa Mambo ya...
0 Reactions
2 Replies
287 Views
Tunajua kwamba Mch Msigwa alichukua kozi ya week tatu kusomea uchungaji. Tunafahamu tena pasipo shaka elimu ya Msigwa juu ya theology ni ndogo sana na ikitokea akaenda katika makanisa ya...
12 Reactions
21 Replies
1K Views
Mliotia nia wote naona mmeanza choko choko kabla hata majina matatu hayajarudi, zingatien kaulimbiu yetu kuwa chama kwanza mtu baadae, Kama huwezi nendaaa, msitugawe na kutuharibia chama
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Super Black kweli alijisahau Sana Ila tumeamua kumsamehe.
2 Reactions
8 Replies
545 Views
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini 2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini 3. January Makamba jimbo la Bumbuli 4. Jerry Muro Jimbo la Hai 5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini 6. Luhanga Mpina kule...
1 Reactions
1 Replies
554 Views
Dkt. Kimei Aingiwa na Hofu Vunjo: Enock Koola Atamng’oa Kwenye Tatu Bora za CCM mbele ya wajumbe? Na mwandishi wetu Vunjo Tarehe: 13 Julai 2025 Katika kile kinachotajwa kama moja ya michakato...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Niwaambie tu hiki ndicho kitachokwenda kutokea baada ya uchaguzi na Mama kurudi madarani japo kiuhalisia hatuna uchaguzi na CCM wanafahamu hivyo. Kwa sasa, CCM wanajikaza tu kuendelea na huu...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Sekta ya utalii nchini Tanzania imechukua nafasi ya kwanza kama chanzo kikuu cha mapato ya fedha za kigeni, ikipita sekta ya dhahabu kwa mara ya kwanza tangu janga la UVIKO-19. Kwa mujibu wa...
1 Reactions
48 Replies
2K Views
KAKONKO — Upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kakonko umebadilika kwa kasi, huku jina la Aloyce Kamamba likiibuka kama nembo ya matumaini mapya na mshikamano wa kweli...
0 Reactions
0 Replies
442 Views
Kuna wakati unaweza kutupa mbegu ya ovocado au kokwa la embe pembeni ya nyumba bila kukusudia kuliotesha wewe ukidhani umetupa kama uchafu mwingine. Hata hivyo kwa vile vitu hivyo vina asili ya...
2 Reactions
5 Replies
460 Views
"Nilikuja kugombea Mtwara wakati sina uhakika kama je wana Mtwara mtanichagua kuwa Mbunge ama lah, lakini kwasababu niliapa kwa Mwenyenzi Mungu wana Mtwara mlikuwa mnaonewa sana, wana Mtwara...
0 Reactions
0 Replies
371 Views
Wakenya wanasema 20 tena https://www.tiktok.com/@ma3nisisi/video/7526154389866745144
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…