Kila ninavyojaribu kutathimini na kufanya hisabati zangu za siasa naona similarities nyingi sana.
Kubwa kabisa ni kitu kilikuwa kinaitwa Kamati ndogo ya Kamati Kuu (Decision Making group) na...
Tusimpongeze MTU wala kumbeza tuache muda uongee Ila kunauwezekano Mzee Kijana na super black wakawa wamewekwa pembeni bila wao kupenda
Kwakuwa nikiuchambua uongozi wa awamu ya tano na sita...
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo...
Nalizungumza suala hili kwa mara nyingine tena, niliwahi kulisema hili miaka 3 nyuma. Adui wa Samia na CCM yake kwa ujumla siyo Lissu wala Chadema bali ni wanachama wa chama cha Mapinduzi wenyewe...
Kwanza kufanikiwa hili ni lazima KATIBA MPYA IWEPO.
Ndugu zangu, mnajua kunaujinga ulifanyika wa kuunganisha Dola na CCM miaka Ile wakati wa Mzee Nyerere !.
Inawezekana Kwa Nyakati zilez...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa...
Moles kila mahali mnafitiana mnasemana vibaya mkifikiri ni sifa uhuru wa mawazo umbea na uzandiki kwa wengine. Haya sasa mmoja katangaza nia... mwingine kasifia nia ya mwenzake ila mwisho kajitoa...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikidai kuwa kada wake Leonard Magere amefichwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda wa kanda hiyo, Jumanne Muliro ametaka...
GT
Sanaa ilikuwa zamani siyo sasa wanashindana kutingisha makalio tu hawana ubunivu wowote.
Kwa wimbo huu nadhani Prof J alimwona Samia ndotoni anakuja yanayotendeka sasa ni yaleyale 100% kwenye...
Askofu Dr Malasusa amesema Wachungaji wametumwa na Mungu wa mbinguni kuleta Amani, utulivu, maelewano na kujenga mahusiano mema ya jamii
Dr Malasusa amesema hayo kwenye Ibada ya kumsimika Askofu...
- vijana mbalimbali wa ccm pamoja na kaka yao makala wameonekana wazi wakitoa kauli za uchochez . Mfano👇
1. Mwenyekiti wa uvccm alitamka kuwapoteza wapinzani na kwamba polis wasiwatafute. Polis...
Wananchi wazalendo na wanaCCM wenzangu msiwe na hofu kuhusu hii kampeni ya kijinga iliyoanzishwa na mwanamke katili asiye na utu kwa jina la Mange. Ni kampeni ya kijinga sana kuwahi kutokea. Mbaya...
WANA CCM: KWELI HPP NI TAASISI
Majibu kwa Thadei Ole Mushi na wakereketwa wengine.
*Wana CCM, sijui wana UVCCM povu linawatoka sana kwa hoja za HPP badala ya kujibu kwa hoja au kwa vitendo...
Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu na uweza usiomithilika, nakusifu, nakushukuru, nakuabudu, nakutukuza, nakuheshimu . Nakuomba:-
1. Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, ukaharibu njia zao...
Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na...
Tunapenda kuuarifu umma kuwa leo, Jumamosi, tarehe 12 Julai 2025, Mkurugenzi wetu wa Mawasiliano na Uenezi, Bi. Brenda Rupia, amezuiwa kuingia nchini Kenya na kwa sasa anashikiliwa na mamlaka...
Wapinzani wake walitegemea kumngoa kwenye kutafuta mgombra Rais ndani ya chama . Sasa ameziba kila mwanya wa kumngoa.
Polepole et al wanaona watoke..LILE KUNDI LA BASHRU ALLY LILILOTAKA ASIWE...