Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hili wengi wenu hamlioni, na huenda linawapita kama Kivuli . Ushawishi wa Kidini alonalo Sheikh Ponda, SI wa kupuuza. Ushawishi wa Kisiasa alonalo Zito Kabwe nao pia SI wakupuuza hasa katika...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Mazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea. Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf- Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni...
12 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili. Kazi...
5 Reactions
83 Replies
5K Views
USHAURI WANGU KWA MAHAKAMA JUU YA KESI YA MHESHIMIWA TUNDU LISSU Mimi kama raia wa Tanzania ninayependa haki, amani, na utawala wa sheria, napenda kutoa ushauri wangu kwa heshima kwa Mahakama...
2 Reactions
2 Replies
805 Views
Chaumma wameanza kufungua ofisi hadi kwenye maeneo wasiyojulikana kabisa mfano kule Mbambabay Nyasa. ACT Wazalendo wanamsubiri Polepole wakiamini katika msimamo wake wa Zanzibar Huru kwenye mfumo...
1 Reactions
9 Replies
493 Views
GT CCM minds zao ziko corrupted kiasi kwamba hawawezi kuona hatari mbele hata mambo madogo madogo..huku kwenye social media watu wenye Ubongo wao na kuoana mbali ndo wamejaa siyo hao wachunga...
3 Reactions
6 Replies
399 Views
Kama kuna Wizara ambayo imeshindwa kazi hapa mkoani na Jiji la Dar es salaam ni wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano. Nadiriki kusema Wizara hii imejaza vilaza walioko katika utendaji, kuanzia...
20 Reactions
76 Replies
3K Views
Wakuu, Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa vijana wahakikishe kwamba...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba mniwekee gawio langu. Mimi niliwekeza nikiwa na malengo yangu. Kunicheleweshea gawio langu linakwamiswha mambo yangu ya msingi. Utaratibu ulikuwa ni kuwa gawio lainawekwa kila baada ya...
2 Reactions
6 Replies
332 Views
Wakuu, Akizungumza Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa Jeshi La Polisi...
1 Reactions
12 Replies
644 Views
Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli. Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha...
5 Reactions
24 Replies
955 Views
Utazunguka kokote ila hawa ndio walikuwa mstari wa mbele na jiwe muda wote kuturudisha kwenye chama kimoja. 1. Bashiru Ally 2. Polepole 3. Ndugai 4. Makonda 5. Afande Sirro Historia ya Tanzania...
25 Reactions
87 Replies
4K Views
Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi. Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha...
2 Reactions
16 Replies
664 Views
Kikosi kiwe namna hii. 1. Dr Philip Mpango 2. Simbachawene 3. Mpina 4. Sugu 5. Job Ndugai 6. Dr Bashiru Alli 7. Halima Mdee 8. Josephat Gwajima 9. Kassim Majaliwa 10 Freeman Mbowe 11. Humphrey...
1 Reactions
16 Replies
977 Views
Wasalaam. Mwaka 1995 Baba wa taifa hayati mwl J.K. Nyerere akiwahutubia wajumbe wa CCM alisema, nanukuu "CCM inapomtangaza mgombea urais katika uchaguzi wa rais, ni kwamba wanamtamka rais ajae wa...
1 Reactions
2 Replies
604 Views
"He killed my ma, he killed my pa, but I will vote for him.".... kwa tafsiri isiyo rasmi inamaanisha "Alimuua mama yangu, alimuua baba yangu, lakini nitampigia kura" Hiyo ni kauli maarufu ya...
1 Reactions
11 Replies
647 Views
Top 10 ya nchi zenye akiba kubwa ya gesi ya helium duniani Tanzania ipo nafasi ya 6 1. Marekani – 20 bilioni m³ 2. Qatar – 10.1 bilioni m³ 3. Algeria – 8.2 bilioni m³ 4. Urusi – 6.8 bilioni m³...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Ukiona jina la mbunge limerudi moja ujue huyo ni chaguo la Rais au tumwite mwenyekiti wa Chama. Vikao vya chini sijui kamati ya siasa ya wilaya au mkoa michakato yao haitambuliki popote. Rais...
6 Reactions
8 Replies
955 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…