Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye uzinduzi wa dira ya taifa ya maendeleo 2050 Rais Samia amesema kuwa Tanzania itaendelea na sera yake ya kutokufungamana na upande wowote kwani uchumi wa sasa...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.
Misaada na mikopo ikitumia...
Tuwapongeze akina Gwajima, Heche na wengine kwa kuwaruhusu wasemeseme tu vile wanavyovisema na namna wanavyovisema, maana hayo ndiyo matakwa ya demokrasia za Magharibi. Kama hawavunji sheria...
Siku km mbili tatu kumekuwa na kamata kamata ya wahamiaji haramu wengi sana, ni vipi mipaka yetu hailindwi? Wahusika wako wapi, jeshi la uhamiaji imeenda likizo? Mipaka yetu hailindwi? Usalama wa...
Ndugu wananchi ninapohitimisha napenda kutoa wito na maelekezo yafuatayo kwanza tubadili mtazamo na namna tunavyofanya kazi na kupimana kwani dira 2050 imeweka lengo na shabaha kubwa kufikia...
Raisi akikaa miaka 10 lazima aondoke
Hili liende hadi kwa mawaziri na wabunge
Kama mtu kakaa bungeni miaka kumi iwe kwa kuchaguliwa au viti maalumu au alikuwa upinzani kama mbunge akaja CCM...
Hii si ya Kukosa Wakuu!!.
Wekeni Bando , Samia angekua na namna anataman hata siku hiyo Intaneti izimwe !!.
Taarifa zinasema ,Polepole ,Mtumishi wa Mungu asipenda kushiriki Dhambi anaenda...
Yona kwenye Biblia aliambiwa na Mungu nenda Ninawi kahubiri huko watu watubu yeye akaona Ninawi nchi maskini sadaka na mafungu ya kumi na pesa hakuna akaamua aende Tarshishi kwa matajiri...
Wakuu Polepole kaahirisha Mkutano wa Kesho kuipa Nchi usikivu juu ya Uzinduzi wa Dira ya Taifa !!
Uzalendo ndio huo, sio kwamba kaahirisha kwakua anamuogopa Rais SAMIA , La hashaa !! Kaarisha...
Jana EU walikuwa na kikao kwenye bunge lao. Walijadili tawala za kidikteta hapa Africa.
Kwa upande wa Tanzania, kumbe Mwigulu Nchemba alidanganya Taifa kuwa Tanzania tutajighalamikia uchaguzi...
Team
Kanukuu mambo mengi
Amani ya nchi
Usalama wa nchi
Kuwekeza ktk raslimali watu
Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele
Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini...
Hii ilipitishwa pale Ndanda baada ya Shujaa Magufuli kumuuliza Cecil Mwambe imekuwaje yuko Chadema ilhali muonekano wake ni wa kiccm kabisa
Cecil Mwambe huku akilia machozi alielezea jinsi...
My Take
Kutokana na hulka ya ubinafsi na wivu wa kipuuzi wa mtu mweusi ndio maana Yuko tayari kumfaidisha Mchina ,Mhindi au Mwarabu at the expense ya mweusi mwenzie...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu anayeshikiliwa na polisi mkoani Ruvuma yupo njiani kusafirishwa kwenda jijini Dar es Salaam.
Lissu...
KUUZA LANGO LA UCHUMI WA NCHI AU KUTAFUTA WANAHISA NI USALITI MKUBWA KATIKA KUVUNJA KATIBA YA NCHI: BANDARI NI MALI ZA WATANZANIA WOTE HATUNA WANAHISA (SHAREHOLDERS) NA HATUHITAJI WANAHISA...
Katiba yetu inasukuma mbele utekelezaji wa Dira ya Taifa 2025?
Je, Katiba yetu inadumisha amani na utulivu, nguzo kuu ya dira 2050?
Je, katiba yetu inawawajibisha wavivu na wezi wa rasilimali...