Kwa kusoma mabadiliko ya mienendo ya Mbowe, tangu alivyopokea kipigo tukufu cha January 21; hautaweza kushangazwa na yeye kwenda kupeana mikono na kupiga picha na Rais Samia.
Ni wazi Mbowe...
Nimepitia haraka haraka dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050 iliozinduliwa leo na kugundua misingi yake ina hadaa umma wa Watanzania.
"Kila mtu anafurahia uhuru, ulinzi wa maisha yake na haki zote...
2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani.
Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na...
Kwa mara ya kwanza CCM ilipoona nguvu za CHADEMA ilikuwa mwaka 1994 kwenye chaguzi za Serikali za mitaa na mwaka 1995 kwenye uchaguzi Mkuu.
Tangu mwaka 1995 mpaka Sasa CHADEMA imekuwa mwiba...
Rostam anaposema watanzania kampuni yake ya Vodacom hailipi gawio kwa wana hisa pamoja na watanzania kumuwezesha mtaji kupitia kununua hisa
Anachoongea yeye mwenyewe hafanyi pamoja na kuwezeshwa
Wakuu,
Leo ni siku maalum duniani ya kuadhimisha maisha na legacy ya aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela
Na ni leo pia nimekuja kujua kuwa huyu mwamba alikuja Tanzania mwaka 1990...
Ee mungu, ee shetani, ee mtoa roho, enyi mizimu ya uzimuni, ee Mungu wa wakristo, ew Mungu wa waislam, ee Mungu wa wahindu na miungu yote kwa ujumla,.
Nawaomba kama itatokea siku moja nchi yangu...
Kuna kila dalili hiyo press haitafanyika vinginevyo afanye kwa mbinu za Gwajima za kujifanya anaongea na waandishi kumbe ni yeye mwenyewe..
Hata Nape alivyotaka kuongea baada ya kufanyiwa uhuni...
Leo sitomwaga mchele Ila mtambue kuna watu wameajiriwa kwa hiyo.kazi
Huyu ndugu yangu muda mwingi alikuwa haendi kazini Ila akienda ilikuwa ni vikao Vya kuua na kutesa .
Watu huwa wanafikiri...
Kwanza hongera sana kwa Uteuzi wako.
Kama sikosei ulipelekwa Mahakama ya Rufani ukiwa na miaka 60. Hivyo sasa utakuwa Jaji Mkuu kwa kipindi kisichozidi miaka 5 kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya...
Pamoja na mapungufu yake yoote, Nyerere aliona unyeti wa Uhuru wa Mahakama ndo mana aliheshimu sana mapendekezo ya Wanasheria waliopendekeza uwepo wa Ibara ya 107A ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook:
Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo...
Baada ya Polepole kusema kuwa Dada yake amevamiwa na watu waliokuwa wanauliza taarifa na hajulikani alipo, nikaunganisha na Mzee Kibao kutekwa kwenye basi na poisi mchana kweupe na kwenda kuteswa...
Wakuu!
Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha...
Jiwe hakupenda kukosolewa, na kila aliyejaribu kumkosoa alikomeshwa na wako wengine waliuawa akiwemo Ben Saanane
Kimsingi Askofu wa huko kwao Niwemugizi wa kanisa katoliki , Kanisa ambalo Jiwe...
Donald Trump anaugua ugonjwa sugu wa mshipa, Ikulu ya Marekani ilitangaza siku ya Alhamisi, baada ya siku kadhaa za uvumi kuhusu picha zinazoonyesha michubuko kwenye mkono wa rais huyo wa...
Kwa mambo yanayoendelea
Kuna uwezekano kuna sheria zinatungwa serikali kujimilikisha account za viongozi na social influencers, maana yake hata kama account ni yako binafsi, as long as we ni...