Wakuu!
Hatima ya wagombea waliopenya, kuliwa kichwa kuwekwa hadharani!
CCM inatarajia kutangaza majina matatu ya wagombea ubunge na udiwani kwa kila jimbo na kata ndani kuanzia leo, baada ya...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amesema ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakuna utamaduni wa kuvuana nguo hadharani, bali kuna utamaduni wa kukosoana kwa lengo la...
"Kwangu mimi na wenzetu Watanzania kuahirishwa kwa Kura za Maoni ilikuwa jambo kubwa na la msingi kabisa kwasababu, Katiba inayopendekezwa ilikuwa mbaya"
"Naamini Katiba inayopendekezwa na Watu"
Inasekana ugomvi baina ya Mpina na viongozi wa CCM Mkoa wa Simiyu ndio chanzo cha jina lake kukatwa katika vikao vya Mkoa.
https://youtu.be/qN1T8rrBep8?si=64FCUMgEIb8iIE-T
Sijafurahishwa kabisaa na kitendo cha Mbowe kuungana na CCM kumshughulikia kisiasa Lissu, naamini kabisa haya yote anyopitia Lissu na CHADEMA ni mchoro wa Mbowe moja kwa moja.
Wengi...
Balozi Humphrey Polepole ambaye alipanga kufanya mkutano na waandishi wa habari kupitia Zoom Meeting na kushindikana kutokana na changomoto ya kusikilizana, na baadaye alipotaka kutumia YouTube...
Kwa muujibu wa mwanachama nguli wa CCM Humphrey Polepole, utaratibu wa kumpata mgombea wa nafasi ya urais kwa tkt ya CCM ulikiukwa, mbona huyu msajili wa vyama vya siasa ambaye yuko very active...
Polepole pigania mfumo! Dada yako kutekwa ni maelezo tosha!. Wewe ulikuwa mwenezi badala ya kupigania kubadilisha wahuni unatakiwa kupigania mfumo mzima wa nchi ili Dada, Kaka, Mama, na ndugu...
Dira ambayo hailindwi na KATIBA ni sawa na janjajanja tu !!.
Kila siku CAG report yake itaonyesha Madudu na Ufisadi mkubwa, na hamna ambaye atachukuliwa hatua !!
Uzembe, Uvivu, Ufisadi ...
Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe.
Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia...
Kila mmoja wetu anastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa utu wake, kulindwa na kuhakikishiwa faragha yake.
Hapa niseme tuh chini ya Rais Samia Amefanya na anadelea kutekeleza Dira hii ambayo...
Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni.
1. Huduma bora za afya
2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira.
3. Sera...
Kumbe Serikali inataka hata kwenye kesi ya Bonny Yai na Godlisten Malissa napo kuwe na Mashahidi wa Siri.
Mahakama ya Kisutu ilitupilia mbali hoja hiyo ya Mwendesha mashitaka, Serikali imekata...
Friends and our Enemies,
Kipindi kile akiwa mwenezi wa JPM pole pole huyu ambae mimi namuona ni popo,msimamo wake ni kuwa lisu ni kibaraka na anatumwa na wazungu waje kuharibu nchi yetu...
Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais...