Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nauliza tu maana huko ACT wazalendo kuna harakati zina endelea Nimekaa pale 🐼🇮🇱
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Tugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza: 1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla 2. Kitengo Cha 'code'- Britannica 3. Kitengo cha nidhamu- mods 4. Kitengo Cha siasa- 5. 6. 7. 8. 9...
14 Reactions
367 Replies
10K Views
Askofu Bagonza akihubiri katika Ibada ya kuweka Wakfu Vifaa na Alama za Kanisa zitakazotumiwa na Askofu Mteule wa Dayosisi ya Mwanga, amesema. Wafalme wabaya na watawala wabaya ili wafanikiwe...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanafamilia mmetisha sana aliye nacho ataongezewa na asiyenacho atanyang’anywa hata kile anachodhani anacho Mlale unono 😄✔️
5 Reactions
81 Replies
6K Views
Wazee hata kipofu wameona na viziwi wamesikia kilichotokea kwenye uteuzi wa haya majina ya wagombea ubunge. Nimepitia list nzima ya majina kiukweli wamejaa watoto wa waliokuwa viongozi kwenye...
4 Reactions
6 Replies
496 Views
Kuzuia uchaguzi ni pamoja na kuiba kura, kutoa rushwa na kuvunja mchakato wa kupatikana wagombea ndani ya chama na kuvunja katiba ya chama. Kuzuia uchaguzi sio kusema unataka mabadiliko au...
2 Reactions
4 Replies
398 Views
Wakuu! Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amenyimwa maji ya kunywa mahakamani aliyokuwa akipewa na kaka yake wakati wa usikilizaji wa kesi yake ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi ni baada ya CCM kutoa majina ya wagombea.
1 Reactions
47 Replies
3K Views
Mfano ni mwenyekiti aliyeasisi NRNE kawaachia wenzake msala yeye kajibanza CCM Yule mgombea Ubunge aliyesababisha Akwilina auawe kakimbilia Chaumma kama geresha huku mkewe akimtuma CCM Tarime...
0 Reactions
2 Replies
151 Views
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini. Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka...
10 Reactions
81 Replies
4K Views
Huu ndio ukweli wenyewe watia nia wengi wanaenda walikuwa na nia ya kupata peaa tu maana ubunge unalipa. Mshahara mnono wa mil 15, posho ya kikao laki tatu kwa siku bado madili kibao ukiwa na...
0 Reactions
1 Replies
215 Views
Nchi yangu imeharibika sana, Kinachoendelea Tanzania ni uchafu mtupu, kinachoniogopesha -viongozi Hawana Tena hofu ya Mungu, yaani mijamaa mikatiri sana. Lissu be smart, husifungue kesi kupinga...
1 Reactions
7 Replies
658 Views
Askari Magereza walioficha nyuso zao wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
UJUMBE: Wana-Moshi Vijijini, Mwaka huu tunakutana tena kwenye fursa ya kipekee ya kuchagua kiongozi atakayeliongoza jimbo letu kuelekea maendeleo ya kweli, ushirikishwaji wa wananchi, na uongozi...
1 Reactions
0 Replies
214 Views
Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni, Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji...
10 Reactions
76 Replies
3K Views
Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma. Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani. Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna...
22 Reactions
119 Replies
6K Views
Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi ) 1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi Jimbo - Fuoni, Zanzibar 2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi Jimbo -...
15 Reactions
49 Replies
3K Views
Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga, kwa niaba ya upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameomba mahakama...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Mimi Sijambo! Moja ya Mambo ambayo Makonda anafanana na Tundu Lisu ni Kujiamini na ujasiri. Ingawaje wapo katika mirengo tofauti lakini tabia hiyo inawaweka kapu Moja kwa kigezo cha watu wasio...
11 Reactions
74 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…