Mgombea wa Urais kupitia Chama cha United People Democratic Party (UPDP), Twalib Kadege, amewasili katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi majira ya saa 7:53 mchana, akiwa ameambatana na...
Mgombea Urais kupitia chama cha wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwilu, amesema kuwa chama hicho kitajikita katika kuhamasisha uzalendo pamoja na Amani ya nchi.
Kunje ameyasema hayo baada ya...
Duniani kuna mambo.
Matrilioni ya uchaguzi yatateketezwa kupiga mhuri wa kura feki kwenye kuhalalisha kumweka mtawala bila kuwajali walipa kodi
Analetwa mzanzibar aliyekuwa mgombea mwenza wa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kibamba Ernest Mgawe amesema ajenda ya No reforms no Election imeitikisa serikali bila kupepesa, lakini watu wanaibeza ajenda hii...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bara, Benson Kigaila, ametoa wito kwa watanzania, hususan vijana, kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025...
Rais wetu mpendwa!
Salaam!
1. Nakupa hongera sana kwa kufika muda wa kuchukua fomu wewe na mgombea mwenza Dkt Nchimbi;
2. Dunia inafahamu wema wako na Serikali iliyopita kupitia msamaha kwa...
Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi...
Mgombea Urais wa Chama cha Makini, Coaster Kibonde, amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), akiahidi kwamba iwapo ataibuka mshindi, kila...
Habari, wakuu,
HIvi karibuni, kulitkea DRAMA kati ya Luhaga Mpina na Samina na Bashe,
Tukaambiwa tumwachie ana Majuukumu naye, je ndio hayo kwenda ACT?
Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Polepole na kwa jinsi mambo ya kiCCM yanavyoendeshwa ni dhahiri siku wakimkamata ana kesi nzito ya Uchochezi na akikaa vibaya wanambandika Uhaini akapumzike...
Muswada wa Sheria ya kulinda mashahidi ulipelekwa bungeni 2018 wakati Chadema ikipngoza kambi ya Upinzani
Maana yake Chadema walishiriki kutunga Sheria inayowatesa Leo
Siyo kila kitu tuilaumu...
Kwa uchambuzi wa ripoti ya CAG, Bw. Job Ndugai alikaa India kwa miezi mitano, sawa na siku 150. Kwa siku moja alilipwa posho ya dola 500 sawa na Sh. 1,160,100.00, na hivyo kwa miezi mitano...
Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote...
Anaandika anasema "Like seriously unaenda kuteketeza
Tsh. 700+Billions kuingia kwenye uchaguzi kushindana na hawa‼️⁉️
Kweli Mama hao ndio washindani wako na unapata amani kuingia madarakani? Na...
Hii ni mbinu adhimu sana, navisihi vyombo vya ulinzi na usalama viitumie kusambaratisha wahuni. Najua kuna watu wao huko kwenye vyombo, lakini najua upo uwezekano wa kutekeleza hili ili taifa...
Sheria za kindezi zilitungwa kuwanufaisha wenzi wa viongozi wa juu wa nchi pale viongozi wale wanapokufa. Sasa ngoma imeanza kuwa nzito baada ya kifo cha Ndugai, na kuibuka kwa wajane wawili...