Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwasababu uongozi wa Lisu hakubaliki kwa wanachadema na agenda zake za kuwatenga wanachadema na michakato ya kidemokrasia, zinapingwa na wanachadema wengi kuelekea uchaguzi mkuu wa October. Na...
4 Reactions
90 Replies
3K Views
Wakuu mnakumbuka hoja ilipowasilishwa bungeni ili kujadili kuhusu masuala ya usalama nchini na utekaji uliokithiri mpaka kusababisha kifo cha Ali Kibao? Nini kilitokea? Tulia alishupaza shingo...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu. Tangu akalie kiti cha urais, kwa haraka haraka hapo ulipo...
39 Reactions
147 Replies
8K Views
Wananchi wameanza kupata maono kama kuna mtu ameibuka kuwapambania juu ya maslahi yao na taifa lao. Tofauti na yule Jamaa aliyekuwa anaenda Ikulu kunywa juic za Ceres. Na hii inakuja kuleta...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/live/boUBc1geEE0 UCHAMBUZI WA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI 2025/26 “Serikali inaogopa uchaguzi huru na haki” Utangulizi...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Anasema Lisu nyota yake inangara sana, akiichezea hataipata tena. Anakubalika na kila mmoja. Asipoteze nafasi , asipoteze kete hii. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
HALI ya kisiasa jimboni Nzega Mjini kwa Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Hussein Bashe ni mbaya tofauti kutokana na kutokubalika na wananchi licha ya kutumia fedha nyingi kugawa kwa wajumbe na baadhi...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
RC CHALAMILA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI JIMBO LA KIBAMBA UBUNGO. -Amshukuru Rais Dkt Samia kwa kutoa pesa nyingi zinazowezesha utekelezaji wa miradi hiyo -Ataka usimamizi mzuri wa...
0 Reactions
2 Replies
376 Views
Mimi mganguzi sina chama cha siasa bali naheshimu sana maoni ya watu !G55 sio wahalifu na hawavunji katiba yoyote isipokuwa wamefuata Sheria ! Badala ya kujibiwa hoja zao wanatukanwa na badala ya...
3 Reactions
63 Replies
2K Views
NO REFORMS NO ELECTION Si Siasa, Ni Falsafa ya Uasi Halali – Hii Ndio Siri Watawala Hawataki Uijue!" Na Maleko GJ Watanzania wanaamka. Kauli ya ‘No Reforms No Election’ ya CHADEMA siyo...
2 Reactions
2 Replies
462 Views
MNEC wa CCM Taifa, Ndugu Joseph Peneza, amechangia milioni 2.5 kusaidia ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Nanyumbu. Akiwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Jumuiya hiyo...
0 Reactions
0 Replies
300 Views
Kuna MTU anatengenezewa Kwa bahati mbaya anaingia Kichwa Kichwa , makosa yale yale yaliyomuondoa yeye ndo na yeye anayarudia. LISSU anajibiwa Kwa HOJA, Madai yake ni ya Wanachi wote, tangu Enzi...
2 Reactions
10 Replies
499 Views
Hellow! Kuna mfumo usioonekana unazidi kuleta mtikisiko mkubwa unaoibua hisia za mabadiliko ya kimfumo mwaka huu, Narudia kusema, CCM imekosea sana kutaka kufanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa ni...
0 Reactions
3 Replies
454 Views
Haya maeneo ambayo Chadema inapita kwenye Kanda ya Kusini ikiwemo Mbamba Bay, yalijaa watu walioamini kwamba CCM ni dini, na kwamba ukiondoka ccm utahukumiwa na Mungu siku ya kiama. Kazi...
6 Reactions
13 Replies
898 Views
Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete leo amekuwa miongoni mwa wabunge wabunge la Tanzania walioshiriki zoezi la uoshaji magari ya watu mbalimbali kwa lengo la kupata fedha...
17 Reactions
126 Replies
6K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Katika video inayosambaa mitandaoni hivi leo, Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, anasikika akitoa kauli zilizojaa jazba, dhihaka na matusi kwa serikali, huku akikosa kabisa hoja mbadala au...
0 Reactions
5 Replies
465 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema hali ya siasa na utekelezaji wa demokrasia nchini umeendelea kuimarika kutokana na maboresho ya mifumo na jitihada...
0 Reactions
8 Replies
744 Views
Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi, CP Charles Mkumbo, amesema jeshi hilo lipo tayari kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake ya kulinda raia na mali zao na kuzuia...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Tanzania tumepitia kipindi kigumu sana ndani ya uongozi uliopo madarakani kwa sasa Tumeona kila aina ya uchawa wa viongozi wetu kwa kumpaka mafuta namba1 kwa mgongo wa chupa aka UCHAWA!! Kila mtu...
7 Reactions
14 Replies
923 Views
Back
Top Bottom