Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

THE TANGA MEETING Thus, when the NCCR party gathered for a week of meetings in Tanga on May 8, tensions were high and the Mabere wing of the party, which includes almost all its 19 MP's, decided...
5 Reactions
18 Replies
4K Views
  • Closed
wana jf jopo la majaji hapa tabora wanategemea kukaa jumatatu ya kesho kutwa kupitia rufaa iliyokatwa na upande wa aliyekuwa mbunge wa igunga bw.kafumu juu ya hukumu ya kesi iliyomvua ubunge...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Kutoka kwenye ukurasa wake wa face book Yaliyonikuta Jana Jumamosi.... Ndugu zangu, Kwanza kabisa niwashukuru kwa dhati kabisa nyote mlionitumia salaam za kunifariji kwa njia za simu, email...
6 Reactions
62 Replies
9K Views
Hivi CCM na serikali yao wametumia katiba ipi kupata cheo cha makamu wa kwanza wa rais? Katika katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Ibara ya 47(1) inasema "Kutakuwa na makamu wa Rais ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu maskini tunaotumikishwa kwa naman moja au nyingine katika jamii ya kitanzani tumepewa majina mengi ambayo yamechangia kutudumaza akili na upeo wa kufuatilia mambo kwa sababu maudhui ya majina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu Makanda habari za saa hizi. Tuko Kibahakuwaletea live updates za Mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa Kanda ya Pwani.Viongozi wakuu ndio wanaingia uwanjani. Namuona Mwenyekiti wa Taifa...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Habarini wana jf! Taarifa za uhakika zilizopatikana toka maeneo mengi nchini hasa vijijini wananchi wengi hawajaelimisha au kujulishwa kwa uwazi juu ya nafasi zinazoombwa katika makundi mbalimbali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi, Kama kawaida yetu, "JF, Be The First To Know!", Kuna uwezekano mkubwa wa kesi ya kutekwa kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absolom Kibanda, ikafikishwa mahakamani leo...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Lipo tatizo lisikotaka/wasilotaka lisemwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili: Kukosekana kwa jengo la kuwahifadhi ndugu/jamaa wa karibu wa wagonjwa wanaouguzwa Hospitalini hapo. Ukweli wa...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Ushauri kwa CCM kwa manufaa ya Watanzania, tunaomba CCM kitafute njia nyingine ya kufanya siasa. Katika karne ya sasa njia za kijasusi hazina nafasi, Siasa siyo vita. CCM ina rasilimari mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna watu wanadhani kujiandaa na uchaguzi wa 2015 ni kupiga kampeni tu kama vile Sangara, M4C na kadhalika. Wakati sizidharau hizo na ninaziheshimu sana, kuna kitu ambacho ninaona tunakipuuza na...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Steven Ngonyani ameonyesha tofauti na wabunge wengine wachangiaji wa maccm katika hotuba ya waziri mkuu kwa kutoanza kuelezea au kuwanyooshea wapinzani kidole na kujikita kwa dk.10 alizo pewa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
tukio lilitokea ijumaa, taarifa wametoa jumatatu tena mabatini wakati pale karibu na ofisi yao kuna polisi maeneo ya gym kana. Cha ajabu wamepeleka barua kwa kinyela yenye rb ambayo ni ya siku ya...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wanahabari walikuwa miongoni mwa watu waliofika mapema mahakamani hapo na kuungana na umati mkubwa wa wanachama na wafuasi wa Chadema kusubiri ukumbi wa mahakama ufunguliwe. Baadaye walitangaziwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Akichangi muda leo bungeni alitoa rai kwa wale wanaotaka ubunge kwanza waende JKT ili wapate nidhamu, hii ni kutokana matusi yaliyotamkwa jana na wabunge.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nampongeza Mh. Raisi Dr. J. M. Kikwete kwa juhudi ya kuinua Mji wa Dodoma kwenye mbio za kuufanya uwe Makao Makuu ya Tanzania. Pia naishauri Bunge letu Tukufu kufanya kila liwezekanalo kuufanya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimefuatilia kwa makini matamshi mbalimbali ya viongozi wa CHADEMA juu ya utetezi wa mkurugenzi wa Usalama wa CHADEMA Bwana Lwakatare. Napata shaka kwa kauli za kubadilika badilika. Kwanza...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
Nimeanza kuangalia bunge hili la bajeti toka tarehe 9.4.2013 hadi leo kwa kweli nimefarijika na kukubali kuwa Jimbo la Kilolo walimchagua kiongozi bora na hawakukosea. Great Thinkers ktk bunge...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wamejiridhisha kuhusu wingi wa taarifa zilizomo katika Vitambulisho vya Taifa. Hii imefanyika katika ukumbi wa Msekwa mara baada ya Spika wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau hii itasadia Uchakachuaji wa kura TZ?? Plans are underway to introduce the use of biometric electoral system in Tanzania's 2015 General Election, Tanzania's National Electoral Commission...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…