Nadhani hakuna ubishi kuwa CCM ni chama cha watu waongo, watu wadini. Kama una mawazo tofauti utatakiwa kunipa ushahidi unaojitosheleza ndo nikuelewe.
Mwaka 1993 CUF ilikuwa na nguvu sana...
Majuma kadhaa yaliyopita, yule mshambuliaji wa kujitoa Mhanga aitwae Hussein Bashe (Certificate CBE) alitoa tuhumua nzito dhidi ya Waziri Membe, akimhusisha na tukio baya la shambulio dhidi ya...
Nikiwa mahali nimeka katika mghahawa mmoja katika jiji la Dar es Salaam nikiwa na kikombe changu cha kahawa wanakuja wabunge wawili wakaanza mazungumzo lakini Mwisho wakasema hapa hali ningumu...
Adai wanaganga njaa kwenye siasa.
> Asema wanalojua ni kung'oa kucha watu.
> Laana ya damu kwenye operesheni zao inawatafuna.
> Wanataka madaraka kwa gharama yeyote.
> Awataka wananchi kuwa macho...
Ndugu zanguni
Nimefuatilia mkutano wa CCM Morogoro leo na nikalinganisha na uchaguzi wa madiwani mwisho mwa mwaka jana na nikapatwa na hofu kubwa sana kuwa kama tusipoanza kuwaeleimisha vijana...
Katika kauli ambazo kwa kweli ziliwahi kunichefua ni hii iliyokua ikitolewa na Matthias Manga ambaye ni Diwani wa Kata ya MLANGARINE,(CCM) ktk Jimbo la Arumeru Magaribi.
Kwa wale wanaomjua...
Niliamua kuvumilia kumsikiliza Katibu mkuu wa CCM akihutubia Taifa kutokea Morogoro. Ninasema akihutubia Taifa kwa sababu chombo chetu kinachoendeshwa kwa kodi zetu ndicho kilichokuwa kinarusha...
Sasa niko Dodoma 'kikazi' kwa shughuli za chama yaani CCM. Hapa Dodoma,pamoja na kufuatilia nyendo za Wabunge wa CCM,lakini pia tunazifuatilia nyendo za Wabunge wa upinzani hasa wa CHADEMA...
Kuna kauli nyingi za uchafuzi wa hali ya amani unaoendelea hapa nchini ambao unaendeshwa na viongozi wa dini, kama ule uliotolewa na Sheikh ILUNGA KAPUNGU wa kitio cha Thaaqib Islamic Centre cha...
Uchaguzi mdogo kata za Arusha kufanyika Juni 16
na Shehe Semtawa
HATIMAYE Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata nne za udiwani kwenye Jimbo la Arusha Mjini...
Jioni ya leo Jijini Mwanza wananchi waunga mkono kiti cha spika, kwa kujitokeza kwa wingi kuwaona makamanda 6 waliotimuliwa Bungeni. Kweli wananchi kumbe uwa mnaonna.
By JOINT REPORT The EastAfrican
Posted Saturday, April 20 2013 at 18:38
IN SUMMARY
According to a new audit report on the 2007 contract, the government says it has fresh evidence to...
NIMEJARIBU kutafuta kamusi ya Kiswahili sanifu, nikakuta neno bahati mbaya, maana yake ni kujaribu jambo bila kujua matokeo yake. Niambieni je, ni kweli Peter Serukamba hakujua kuwa anatukana...
Ndugu zanguni,
Ni miaka miwili tu imebaki kabla hatujingia kwenye uchaguzi mkuu wa Urais na wabunge 2015.
Ningependa tu kuwaasa ndugu zanguni mambo ya kuzingatia ili tusifanye makosa ambayo...
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amesema Spika wa Bunge Anne Makinda amekinajisi kiti cha spika.
Dr Slaa ambaye ni gwiji wa siasa za Tanzania amemshutumu vikali Spika na Naibu wake kwa...
KWANZA SALAM
Nimekuwa nishauri kwa muda mrefu kuwa chadema hakiendi kupiga kampeni vijijini na nimekuwa nikionyesha wasiwasi wangu ni namna gani tutapata ushindi 2015 lakini wana jf wamekuwa...
Wana JF
Naomba kwa kina nieleweshwe kile kilichotokea jana, Nilimsikia Spika akikiri kuwa kanununi iliyotumika kuwasimamisha wabunge wa CDM kwa siku 5 kulingana na kosa la kutotii mamlaka ya Kiti...
Tumeshuhudia maamuzi ya Naibu Spika
yaliyozua utata na kubarikiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungani wa Tanzania. Lengo langu
hapa ni kutoa mtizamo wa kisheria wa kwanini maamuzi ya...
WAKATI Tanzania imetimiza zaidi ya miaka 20 tangu yatokee mageuzi ya kisiasa yaliyosababisha kuruhusiwa kwa siasa za vyama vingi, kuna haja ya kufanya tathmini japo fupi kwa minajili ya...