Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

FRIDAY, MAY 10, 2013 Meneja wa Miradi Maalum ya mji wa Valejo,California, Bibi Lilibeth Defiesta Asera amehimiza kuwepo kwa mahusiano zaidi kati ya miji ya Valejo na Bagamoyo ambayo yatakuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau napendekeza katiba mpya itupe haki sisi watumishi wa serikali tunaoipenda CDM fursa ya kugombea vyeo vya kisiasa kama udiwani na ubunge bila kulazimika kuacha kazi ....wapenda mabadiliko...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Watz kwa ujumla wenu!!!! Hakuna asiefahamu rekodi nzuri ya kiuongozi hasa katika ngazi ya uwaziri mkuu iliyowekwa na hayati edward moringe sokoine, hata maamuzi magumu ya waziri mkuu edward...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Nchi ya Marekani ni kati ya nchi iliyokuwa na ubaguzi mbaya kati ya weusi na wazungu weupe. Ubaguzi huu kwa weusi ulipelekea weusi wengi kuuwawa kinyama, kwa kupigwa risasi kama nguruwe mwitu...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
JAKAYA KIKWETE Image via Wikipedia From the publisher: We do not profile a sitting President. However, we make an exception. We have during the past year, never found a criticsm of President...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Wana JF, Mnakumbuka kuwa makamanda Dr Mkumbo na Mwikabe Waitara wanakabiliwa na kesi katika Mahakama ya Wilaya Singida kwa kile kinachoelezwa ni kutumia lugha ya matusi dhidi ya Mh(sic!) Mwigulu...
3 Reactions
10 Replies
6K Views
  • Closed
Nachelea kuandika hivi nisije kuonekana mchochezi kwa vile hili suala hivi karibuni limekuwa sensitive sana miongoni mwetu. Kama itakuwa hivyo, Mods, msisite kuifuta post yangu mara moja. Jana...
0 Reactions
4 Replies
992 Views
Msaidizi wa Mwigulu Nchemba bwana Edgar Ntunda amehamia CHADEMA pamoja na wananchi wengine wengi wa jimbo la Nchemba. Akizungumza kwa niaba ya wenzake Bwana Ntunda amesema amechoshwa na matusi...
10 Reactions
167 Replies
11K Views
Ni jambo la aibu kwa Mwanasheria Mkuu wa serikali kutumia muda wa takriban dakika tatu kuelezea tofauti kati ya woman, Lady na Gentleman na kusema kwamba anashindwa kujua kama Halima Mdee ni Lady...
0 Reactions
85 Replies
10K Views
Ikiwa imebaki miez 2 tangu Tanzania itimize miaka 21 tangu ingie ktk mfumo wa vyama vingi..Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa amesema hoja nyingine zinazotolewa na upinzani ni za msingi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ingekuwa ni nchi zenye kuamini Katika Demokrasia na haki. basi waziri wa Ulinzi angekuwa ameshajiuzulu kutokana na uzembe katika kifo cha malaika huyu huko Tarime. Lakini kwa vile nchi yetu imejaa...
0 Reactions
1 Replies
873 Views
Baada kufutwa kwa mashtaka ya ugaidi dhidi ya Rwekatare nimejiridhisha kuwa. Mwigulu hana utu, binadamu unapo kosa utu juu ya binadamu mwenzako unadondokea kwenye sifa za mnyama, lakini ukikubali...
38 Reactions
123 Replies
10K Views
Kati ya mapinduzi ya kweli kwenye katiba ya Kenya (kwenye masuala ya utawala), ni pale ambapo mawaziri hawapaswi kuwa na cheo kingine chochote kinachotokana na siasa ama kwa kuchaguliwa au kwa...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Na Maggid Mjengwa, MOJA ya sababu kadhaa za vita vya Iraq ilikuwa ni kupambana na ugaidi. Juzi hapa nchi yetu imekumbwa na shambulizi la pili la kigaidi. Naam, ugaidi ungalipo na unabaki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nikiwa nasoma shule ya msingi tulifundishwa kuwa " jasusi ni mpelelezi anayevuka mipaka ya nchi kwenda nchi nyingine, kupeleleza au kuharibu kwa maslahi ya nchi yake." Tulifundishwa kuwa majasusi...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Gazeti la Citizen lemeweka wazi ukweli kuhusu tuhuma ya Meno ya Tembao aliyohusishwa nayo Ndugu Kinana, na Kambi ya Chadema. Hilo gazeti limesafisha kidhati na kuweka all relevant facts and...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Edson Kamukara CCM haina dhamira na katiba mpya NAJUA ni maeno ya kuudhi, lakini sina budi kuyasema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina dhamira ya dhati kuwapatia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hawako hewani si redio wala luninga. Hakuna sababu yoyote iliyotolewa zaidi ya mtangazaji wa zamu kusema anasikitika hakutakuwa na matangazo toka bungeni hadi tutakapoarifiwa tena.
1 Reactions
93 Replies
8K Views
Nimeona kwenye thread moja humu wadau mijadili kwamba kuna askari mkubwa hapa nchini amepania kuingia humu Jamii Forum na kuvizia wote wana-post thread za uchochezi wa dini. Labda tukumbushane...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…