Taarifa nilizozipata muda na watu ambao wapo kwenye tukio, wanasema hali si shwari katika mji wa Luaha kutokana na CCM kutaka kumkabidhi uenyekiti wa kijiji bwn. KISALUNI, kinyemela kwa kumuita...
Nilipita jf na kuona wadau Jf mlivopata hasira kuhusu bunge leo kupigwa kapuni, sasa nampata Pinda Live TBC RADIO anafunguka na mwana wa mkulima kwa nia njema anasema epusha siasa ktk suala la Arusha
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake na pia...
Imedhihirika kuwa, kisa cha Naibu Waziri Nyalandu kuweka kambi bungeni tena kipindi hiki cha Bunge la bajeti ni maandalizi yake na chama chake CCM kujiweka karibu na wananchi kwa maandalizi ya...
Ratiba ilikuwa inasema hivi:
1: April 03, 2013 (yaani siku 37 zilizopita):
Tume ita-conclude kupata maoni na moja kwa moja itaanza kuandika (edit) draft ya katiba mpya.
2: May 02, 2013 (yaani...
Katika sababu za kufeli watoto wetu mwaka 2012 zimetajwa nyingi lakini walimu wanajitapa kuwa wao ndio waliowafelisha vijana hawa kwa makusudi kwakuwa madai yao hayasikilizwi likiwemo la...
Ndiyo wanabodi. Heshima kwenu !
Kesho ndo tarehe ya kusomwa kwa kesi ya Madiwani waliofukuzwa CHADEMA Mwanza. Madiwani hao ambao wapo kwenye nafasi kwa amri ya mahakama ni Ndgu Adam...
Kauli uliyoitoa leo Arusha kwa waathirika wa mabomu kuwa vurugu sio za kidini kisa huko Zanzibar hata Masheikhe wamemwagiwa tindikali. Does this make something kweli!!!!!??
Habari wana jukwaa!
Top up ni malipo ambayo uwa yanafanywa na wizara kwa kila mwaka wa masomo kwa wanafunzi wa mwaka wa tatu kwa ajiri ya mafunzo kwa vitendo bila kujali mwanafunzi anapata mkopo...
Kabla ya Mei 5, mwaka huu, jina la Victor Ambrose (20), halikuwa likijulikana miongoni mwa jamii kubwa ya wakazi wa Jiji la Arusha. Hali kadhalika, kwa Watanzania wengi.
Lakini baada ya tarehe...
By. Mlosi K. Mtulutumbi,
Mwanangu,
Naandika waraka huu kwa majonzi makubwa yaliyougubika moyo wangu ulioota kutwa kwa kusukuma damu yanye wekundu uliofifia pengine kutokana na kula mboga za...
Habari ambazo ni tetesi zinasema kwamba umoja wa mashirika yasiyo ya kiserikali yakishirikiana baadhi ya wanasheria nguli hapa nchini wapo katika hatua za mwisho kuandaa kuweka court order...
Leo saa majira ya saa Nane MKUU wa wilaya ya aruSha MJINI Ndg Mongela AMEKUJA airport nakuomba ndege anayopaswa kusafiria balozi wa mwakilishi wa Papa isiruke ILI BALOZI ambaye amekataa kuonana na...
Ndugu wanajamvi, kuna vitu ninavyojaribu kutafakari na sijaweza kupata majibu sahihi juu ya taifa lilipo na linapoelekea.
Haya ni baadhi ya maswali:
Taifa hili limejengwa kwa juhudi za...
Hii ni email tuliyotumia leo Kutoka Makao Makuu ya Ofisi yetu (Si Tanzania) ikitu alert na Machafuko ambayo yanaweza Kutokea based on Hukumu ya Shekh Ponda
Hi all
Please note that personnel in...
Hukumu rufaa ya ccm ya ubunge wa Igunga kusomwa leo saa tatu mahakama ya Rufaa Tabora..source ni mimi mwenyewe nimeona summons za mahakama,naona wadau mapema wameanza kutiririka mahakamani,,,,
Nilisikia Kauli ya James Mbatia ikiwa kama ilikuwa kama anamuelekezea mtu ambaye alidhani yeye ndiye muhusika mkuu wa shambulizi la ARUSHA Maana hata mtangazaji alisema James Mbatia ameongea bila...
The CITIZEN
Posted Wednesday, May 8 2013 at 22:41
In Summary
Chief Sheikh Issa Shaaban Simba, said the Sunday attack has brought to light a more complicated motive in the series of attacks...
NDUGU KABWE Z. ZITTO, MB BUNGENI TAREHE 6 MEI, 2013
Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru sana kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia leo katika mjadala huu muhimu sana.
Hapa Afrika kulikuwa...