Chama cha CHADEMA wamechezewa changa la macho kwa kesi isiyo na kichwa wala miguu ya Rwakatare, ambayo wametumia muda mwingi kuishughulikia na kuacha kushughulikia kesi za msingi kama ya Igunga...
Statistics hizi ziko kwenye Gazeti la Daily news la tarehe 9 May, wamezitoa kutoka National Bureau of Statistics (NBS), Infact hili hata mimi nimeliona mwezi huu mchele nimenunua kwa TZS 1,500...
Dar es Salaam. The Police Force has established an Information and Communication Technology (ICT) Department in an effort to curb hate speech in social networks which has been endangering peace...
Wanajamvi, ule mpango wa Serikali ya CCM wa kuhakikisha kwamba mijadala ya bunge haioneshwi LIVE kwenye runinga (TV) sasa umeanza kutekelezwa rasmi.
Mpango mkakati ni kwamba wizara ambazo ni...
Jamani watanzania wameshatoka kwenye mawazo vumbi ebu hawa jamaa warudi tu CCM tujue moja au waachane na siasa. Wananikera na Mungu anawachapa kiboko wanachoka kila kukicha.
Wakuu hii kitu inanisumbua sana,
Naomba kufahamishwa hizi namba za BUNGE letu zinamaanisha kitu gani?
na zilianza kutumika nini?
Nikifikiri ni la vyama vingi, hapana sababu sasa ni...
Askari polisi wa kituo cha Tarime namba D.4662 Koplo Mathew anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za uzembe uliosababisha kifo cha mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Rebu DEUS...
Viongozi mbalimbali juzi walipita ktk maduka na maeneo mbalimbali na kuwaomba wananchi wa uyole michango mbalimbali ya fedha kwa ajili ya kugharimia ujio wa slaa na kufanya mkutano eneo la uyole...
Mwishoni mwa Mwezi April Jukwaa la Wakrito lilikutana na Rais kikwete Ikulu na kujadili Masuala kadhaa.
Mwisho wa Kikao hicho walitoa Waraka ambao ulikuwa na Masuali zaidi ya Tano likiwemo suala...
Retired President Benjamin William Mkapa (pictured above) has argued Inter Action Council European members to press on their governments to ensure that the Economic Partnership Agreements (EPAs)...
Naomba nieleze wazi kuwa kauli ya serikali kuwa wamepunguza kodi katika mishahara ya watumishi kutoka 18% hadi 15% kwa mwaka wa fedha 2012/2013 si ya kweli(ni uongo).
Na kama jambo hili lina...
Aliyewahi kuwa mbunge wa Bukoba mjini kwa tiketi ya CUF na naibu katibu mkuu, bwana Lwekatare inasekana yuko kwenye hatua za mwisho kujiunga na CHADEMA.
Hali hiyo imekuja baada ya mkutano mkuu wa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema hawatalipa kisasi hata baada ya mahakama kumfutia kesi ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama...
Kwa sasa kweli mabadiliko yanakaribia Tanzania kupitia kwa CHADEMA,nimesema hayo baada ya kufanya simple analysis.kwa propaganda ambazo CHADEMA wemetupiwa mwaka huu ni wazi kwamba ingekuwa enzi...
Nyie akina Nape na wenzio akina Ngulu Nchemba, Juliana Shonza na mwenzako, Chris Lukosi, akina Lusinde n.k. ivi tuseme uwezo wenu wa kufikiri ni duni sana kiasi cha kushindwa kuelewa kwamba kauli...
Naomba niwaonye viongozi wa CHADEMA juu ya opereshion na mikutano mingi wanayofanya kaskazini,kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini huku wakisahau kusini kwan CCM imechokwa wakumbuke waipa nafasi...
Kukiwa kuna kika dalili na tambo mbalimbali zinazoashiria chama cha Chadema kuingia ikulu ya magogoni mnamo 2015 ni vyema tukajadili mahusiano yaliyopo kati ya chadema na wawekezaji hasa wale wa...