infantrier
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 343
- 126
Wakuu hii kitu inanisumbua sana,
Naomba kufahamishwa hizi namba za BUNGE letu zinamaanisha kitu gani?
na zilianza kutumika nini?
Nikifikiri ni la vyama vingi, hapana sababu sasa ni mwaka wa 18 tangu bunge lakwanza
la vyama vingi 1996. Imekuwa vipi mpaka wakaanza kutaja bunge kwa namba?
Nawasilisha!