Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Ninefungua gazeti la Mwananchi nikakutana na kichwa cha habari "Ponda bado ngangari" mbele ya hiyo headline kuna picha ya Lipumba na ndani ya hiyo habari kuna maoni ya Lipumba baada ya maelezo ya...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Akihojiwa asubuhi hii na Radio One Sterio ktk kipindi cha kumepambazuka, Prof. amekiri wazi uzembe ulojitokeza kipindi chote cha nyuma katika kubinafsisha na kusainiana mikataba ya uchimbaji na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, ningependa tu kupata taarifa juu ya uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji 17 na vitongoji 54 uliokuwa ufanyike Iramba magharibi tarehe 26/5/2013 kwa mujibu wa thread iliyowekwa humu jf siku...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Ndg wana JF kumekua na hali ya malalamiko ya wakulima kote nchi kuhusu usambazaji wa pembejeo feki za kilimo hasa Mbegu na mbolea, kwa wale watu wa nyanda za juu kusini hasa Rukwa tayari mazao ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Inavyoonekana CCM hawakumbuki maagizo ya baba wa Taifa mwl.Nyerere,kwa research yangu nimegundua haya ;udini,Rusha,muungano,ufisadi,unyonyaji,undugunaization ktk kazi,migodi imeuzwa.Na hivyo...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC-CCM) na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa amewataka viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuwa na utaratibu wa kukosoana pindi wanapokosea badala ya...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Waendesha bajaji wakimsubiri Dk. Kafumu nje ya mji wa Igunga wakati walipowasili Msafara wa Dk. Kafumu, ukiongozwa na pikipiki na bajaji baada ya kuwasili mjini Igunga Dk. Kafumu...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Katibu waitikad na uenezi wa ccm nape nnauye anatarajia kutua igunga leo kwaajili ya mapokezi ya mbunge aliyerejeshewa ubunge na mahakama juzi dr.kafumu nape anatarajia pia kuwahutubia wananchi...
1 Reactions
76 Replies
5K Views
THAMANI YA Dr.SLAA KISIASA NA ANGUKO LAKE KABLA YA 2015 WACHAMBUZI wa siasa Ndani ya Taifa hili(Tanzania) kwa sasa kalamu zao na macho yao wanapojadili chama pinzani wanamaanisha...
1 Reactions
102 Replies
8K Views
Nimejaribu kutafajari sipat jibu ni nani ndani ya ccm anaweza kulinganishwa na mwl nyerere.Sifa za mwalimu nyerere- hakuwa mtu wakulimbikizia mali,hakuwa mtu wakuyumbishwa, alikuwa na mahamuzi na...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Chama cha CHADEMA wamechezewa changa la macho kwa kesi isiyo na kichwa wala miguu ya Rwakatare, ambayo wametumia muda mwingi kuishughulikia na kuacha kushughulikia kesi za msingi kama ya Igunga...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Ujumbe wetu kwa wanajamii! Tatizo sio CHAMA ila ni utekelezaji wa malengo na ilani ya CCM! Karibuni wote (See attachement ya shina letu)
1 Reactions
25 Replies
2K Views
2015 ntachukua jimbo la ludewa mh.Deo Filikunjombe stay tune.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Statistics hizi ziko kwenye Gazeti la Daily news la tarehe 9 May, wamezitoa kutoka National Bureau of Statistics (NBS), Infact hili hata mimi nimeliona mwezi huu mchele nimenunua kwa TZS 1,500...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Dar es Salaam. The Police Force has established an Information and Communication Technology (ICT) Department in an effort to curb hate speech in social networks which has been endangering peace...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamvi, ule mpango wa Serikali ya CCM wa kuhakikisha kwamba mijadala ya bunge haioneshwi LIVE kwenye runinga (TV) sasa umeanza kutekelezwa rasmi. Mpango mkakati ni kwamba wizara ambazo ni...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Jamani watanzania wameshatoka kwenye mawazo vumbi ebu hawa jamaa warudi tu CCM tujue moja au waachane na siasa. Wananikera na Mungu anawachapa kiboko wanachoka kila kukicha.
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu hii kitu inanisumbua sana, Naomba kufahamishwa hizi namba za BUNGE letu zinamaanisha kitu gani? na zilianza kutumika nini? Nikifikiri ni la vyama vingi, hapana sababu sasa ni...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Askari polisi wa kituo cha Tarime namba D.4662 Koplo Mathew anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za uzembe uliosababisha kifo cha mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Rebu DEUS...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
  • Closed
Viongozi mbalimbali juzi walipita ktk maduka na maeneo mbalimbali na kuwaomba wananchi wa uyole michango mbalimbali ya fedha kwa ajili ya kugharimia ujio wa slaa na kufanya mkutano eneo la uyole...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…