Kwanza kabisa nitoe shukrani kwa kanisa katoliki, limekuwa mstari wa mbele kupaza sauti lakini kwa bahati mbaya sauti hiyo masikioni mwa walengwa ni kama kelele tu, wanaendelea kufanya wanachotaka...
Nikiwa Rais wa Tanzania kutaanzishwa hii taasisi ya kupigania maslai ya kiuchumi, rasilimali Tanzania tofauti na usalama wa Taifa ambao utaendelea na jukumu lake la kulinda viongozi
Hii taasisi...
Wasanii kibao kutoka tasnia mbalimbali wakiwasili Mlimani City jijini Dar es Salaam kunakofanyika uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu.
My Take
Wale Mliokuwa mnasema Zenj wanatumia umeme wa Bara Bure Sasa mumefungwa midomo.
Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameupiga mwingi katika sekta ya nishati ya umeme visiwani...
Afrika kote tunafanana kwa tabia zetu za kizombi. Siasa Safi inawekwa Kapuni na wachache. Watu wanapiga bila kupingwa.
NB: poleni FRELIMO, SWAPO na Vyama vyote rafiki.
Katika kipindi cha miaka 5 ndani ya Jimbo la Kawe nimejenga ofisi za chama 42 halafu mtu anasema siipendi CCM, ila mimi naipenda CCM sio awo wanaongea kwa maneno tu. Ndio maana sitaki kuiona CCM...
Habari wanabodi,
Hii habari kwangu imenishangaza hasa nilipomsikia Raisi Magufuli akisema kwa kujiamini kabisa kwamba hakupokea hata shilingi moja kama mchango kutoka kwa mfanyabiashara yeyote...
Huwa hawakurupuki kufanya Jambo lao
Ni kanisa lililojaa majasusi mpaka wavaa baragashia.
Hawa ndio serikali kubwa kuliko zote duniani.
Hawana ndio wanashikilia uchumi wa dunia kupitia kupitia...
Sijawahi kumsikia Rais John Pombe Magufuli akitamka kuwa anawachukia wafanyabiashara na wawekezaji. Nachojuwa mimi ni kwamba Mh. Rais hapatani na wafanyabiashara wasio waaminifu, wasio lipa kodi...
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho kitamuenzi marehemu George Mwingira, maarufu kama MC Mwingira kwa kuzifanya nyimbo zake kuwa hazina ya chama hicho.
MC Mwingira...
Tuliona Kipindi Lema akiwa Mbunge alivyopata misukosuko hapo Arusha, wengine tulidhani ni kwa sababu ni Mbunge Kutoka Chama Cha Upinzani!
Akaja Gambo na Mongella baadae Makonda, Hawa wote ni...
Champezi Hassan Mwakinyo
Umegusia jambo muhimu sana katika harakati; Tundu A.M Lissu kujitetea Mahakamani katika mashtaka ya uhaini, wakati huo;
Tundu Lissu anafundisha jumuiya yote kuanzia...
Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni...
USHAURI
Gwajima amesema kuwa ameshauri mara nyingi, na anashauri tena.
Askofu Gwajima amesema kwamba nchi imegawanyika sana, na mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubali kwenda kwenye...
Mbunge wa Nzega vijijjini mh Dr Kigwangala amesema angekuwa kwenye research au Chuo kikuu angeshakuwa Professor Lakini sasa alipo anaishia kutukanwa tu na Vijana wadogo
Dr Kigwangala amelalama...
Hiki ni kile nilichokishuhudia kwa macho yangu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kilichofanyika kwenye so called kuhuisha/kuandikisha wapiga kura wapya.
Ni hivi,
Mwitikio wa watanzania...
"Watu wa Kilwa na Watanzania, ninaomba mniamini, niligombea nafasi ya umakamu kipindi kile nikiwa CHADEMA, leo hii nimeaminiwa kwenye nafasi ya Urais, naomba mniamini kunipeleka Ikulu kijana wenu...