Moja ya mambo ambayo serikali yetu ya mheshimiwa jk kufanya ni hili la kupeleka wanajeshi kuwa walizi wa raia na Mali zao baadala ya kuwa walinzi wa mipaka ya nchi...
Wasira: Msiuze urais kwa 20,000/-
MG O M B E A ubunge kwa tiketi ya CCM katika Jimbo la Bunda, Steven Wasira amewataka Watanzania wasifanye majaribio na kubahatisha katika kuchagua urais kwa...
Wana Jamvi, Kuna habari za kuaminika kwamba CCM wamemwambia kinana asiudhurie midahalo yoyote ya umma ili kukwepa maswali kutoka kwa wananchi kwa njia ya simu au live uhusika wake na biashara ya...
Naomba nitumie jukwaa hili kufikisha ujumbe wangu kwa Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni kuhusu umuhimu wa nidhamu bungeni. Hapa nazungumzia nilichokiona leo bungeni kwa Mh. Joshua Nassari na...
wakati anajibu hoja za wabunge amesema kwamba kuna baadhi ya wabunge walikamatwa na madini viwanja vya denge akawaombea waachiwe,yaleyale ya mzee wa kaya wana JF nyinyi mnalionaje hili
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema tatizo la vurugu za wananchi wa Mtwara kupinga gesi kusafirishwa kuja Dar linahitaji meza ya mazungumzo na sio matumizi ya nguvu.
Busara ikitumika...
Kamanda Machachari wa CHADEMA Ally Bananga anaelekea kuisambaratisha kabisa CCM katika Jimbo la Iramba Magharibi linaloongozwa na Mbunge Mwigulu Nchemba.
Bananga ameteuliwa na CHADEMA kuongoza...
PENDEKEZO LA UANZISHWAJI WA INTERNET RADIO YA CHAMA (COMPLETE)
1. UTANGULIZI
Internet radio sio kitu kipya kwani zimeanza tokea mwaka 1993 na zimekuwa, siku hadi siku, umaarufu wake ukiongezeka...
Wana JF,
nimekua najiuliza mambo meeeengi sana moja wapo ni Mh Membe anatokea Lindi/Mtwara maana jimbo lake
linapkana na mikoa yote miwili Lindi na Mtwara.
Ndugu huyu amekua anajipitisha kwa...
By The Citizen Reporter
Posted Sunday, May 19 2013 at 22:42
In Summary
Specifically, CUF cites in Mtwara Regions Tandahimba riots that erupted last month, saying they were spearheaded by...
Akionge katika kipindi cha star tv cha Jicho letu ndani ya habari asubuhi ya leo,mhariri Balile ametoa taarifa ya uongo kuwa wanafunzi wa vyuo vya elimi ya juu wanalipwa sh1800,000 kwa miezi...
Legislators slam government over Mtwara mayhem
By Emmanuel Onyango
25th May 2013
Tundu Lisu
Legislators, mainly from the opposition, have warned the government against using force to...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema Rais Jakaya Kikwete anapaswa kuomba hekima kwa Mwenyezi Mungu kutokana na matukio yanayotokea sasa nchini...
Katika hili waziri Muhongo na Rais wako ni wababaishaji.Leo akijibu hoja ya Ole Sendeka kuhusu kutoa ahadi ya wachimbaji wadogo huko Mererani kuwa wakimaliza au ku expire leseni za wachimbaji...
Kwanza naomba nionyeshe hisia zangu kwamba ninafadhaishwa na namna neno "uchochezi" linavotumiwa na moja ya viongozi wa chama kimojawpo hapa nchini. Mosi, pale ambapo jambo la kweli lililosemwa au...
Ndugu wana bodi,
nimependa niwape tu machache juu ya kwanini Khamisi Kigwangala anapendekeza RC Mtwara pamoja na DC wake wang'olewe au watolewe kafara.
Katika fukunyungu za kisiasa Simbakalia...
Gazeti la jambo leo limeandika "Mtwara wakubali gesi itoke" wanasema ni baada ya jeshi la wananchi wa Tanzania kwenda kurejesha amani, salamu ya wana mtwara imebadilika kutoka "Gesi haitoki" hadii...
Kuna jambo moja ambalo linaendelea kutokea katika jeshi la Polisi la Tanzania lakini wahusika hawaonyeshi kujifunza kuwa ni baya, linaliletea aibu jeshi na dharau kwa nafsi zao. Jambo hilo ni...
Katika hali ya sasa ya Tanzania hamasa ya Kisiasa imekuwa sana. Watu wamekuwa wakijitokeza kuhama na kujiunga kutoka chama kimoja kwenda chama kingine. Kuhamia au kuijunga chama cha siasa ni...
NDEGE yoyote itakayonunuliwa na Wizara ya Uchukuzi, inayoongozwa na Mbunge wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe, inaviziwa kutaifishwa kwa mujibu wa mikataba ya hovyo iliyoandaliwa na mtandao wa...