Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Alhamisi wiki hii kikao cha mchujo wa kumpata katibu mkuu mpya wa UN, kuchukua nafasi ya Antonio Guterez, kinaanza kufanyika. Katika mchujo huo Afrika inawagombea wawili baada ya Aliyewahi kuwa...
1 Reactions
24 Replies
303 Views
Ni jambo jema kwa viongozi, taasisi na wananchi kuhakikisha kuwa mali zinazotumika kwa ajili ya kutoa huduma za umma zinasimamiwa kwa uwazi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za Serikali...
3 Reactions
10 Replies
252 Views
Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana. Watanzania wanataka amani. Vijana wanataka kuchoma moto nchi. Tufanye nini? Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa...
5 Reactions
35 Replies
816 Views
Mchungaji Peter Msigwa, aliyedai kwamba hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi imewaamsha Watanzania kuwa licha ya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ilani yake ya uchaguzi 2025/30...
3 Reactions
13 Replies
436 Views
Kelele za ajenda hii zimekuwa nyingi kweli! Acha nione mwisho wake ========== CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Kilwa kimetoa msimamo wao juu ya tuhuma za Fedha ndani ya Chama...
1 Reactions
5 Replies
139 Views
Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane...
16 Reactions
121 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuwa watuhumiwa 36 kati ya 130 waliokamatwa kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka. Katika taarifa iliyotolewa Julai...
3 Reactions
9 Replies
202 Views
Kwako Dr Emmanuel Nchimbi; Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu: Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja...
29 Reactions
76 Replies
2K Views
Tulipigiwa simu tuondoke TBC kwamba kuna watu wanakuja kutuvamia Oktoba 29”—Dkt. Ayob Rioba Chacha.
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Maridhiano ya kweli yalipaswa kufanyika kabla ya uchaguzi wa kiini macho wa Oktoba 2025. Lakini kwa sababu walikaza fuvu, walitawala kimabavu baada ya kuua, kuteka na kubambikia raia kesi za...
0 Reactions
2 Replies
62 Views
Hili ni jambo muhimu kufanyika sasa ili kuweka kumbukumbu sawa, Lengo la jambo hili muhimu ni kuruhusu Wenye ndugu zao kufanya Hitma ili kuamua kama watalipa kisasi au watasamehe na kumuachia...
9 Reactions
29 Replies
389 Views
1. Nape Nnauye----Alitumbuliwa akiwa kwenye hafla Usiku Mlimani City. Aliingia Akiwa Waziri Akarudi kama Mbunge Abiria wa Bolt. 2. January Makamba ---Alitumbuliwa kwakuwa Habebeki 3. Kassim...
9 Reactions
20 Replies
521 Views
Hongera Bi Rose Manumba, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, madiwani na wataalamu wote kwa uongozi wenye matokeo unaotanguliza maslahi ya wananchi. Kupitia usimamizi...
0 Reactions
1 Replies
60 Views
Taharuki imerukibuka mapema asubuhi ya jana Julai 26, 2025 katika Mtaa wa Kongo Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, baada ya wananchi wa eneo hilo kugomea zoezi la kupangwa meza za...
1 Reactions
0 Replies
75 Views
Ugaidi ni tuhuma kali sana na ndio maana ni kosa ambalo linapingwa na kudhibitiwa kimataifa. Gaidi wa Tanzania ni gaidi wa dunia nzima. Kama ndio hivi, je Watanzania wanavyokamatwa kwa ugaidi...
1 Reactions
1 Replies
54 Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, ni makala ya pongezi kumshukuru na kumpongeza Rais Samia kwa kutokusaini death warrant yoyote kuidhinisha utekelezaji wa...
1 Reactions
25 Replies
383 Views
My friends, ladies and gentlemen. Ni ukweli usiopingika kwamba mtu yeyote yule anae izungumzia katiba mpya Tanzania, anazungumzia kuhusu ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030, ambayo ndio...
1 Reactions
28 Replies
248 Views
Najua sasa kiafya na kiakili umechoka sana - JIUZULU Assistant Vampire ameshaanza kukenua meno yake makali kwako - JIUZULU Umeandaa wasia siku ya marehemu washika mikuki, umekataliwa usiusome...
35 Reactions
42 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…