Lengo ni watu wafanye Cross checking ya majina hayo kama kweli watu hao walienda kujiandikisha.
Nje ya hapo Uchaguzi wa 2025 ni batili kwa sababu matokeo sio takwa la wananchi
CCM B (ACT...
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya...
Wasaaalamu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey...
Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.
Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering...
Mh. Tafadhali mpeleke Dr Bashiru Cuba kabla hujatangaza kupumzika na kumwachia mwanachama mwingine kugombea urais mwaka huu.
Asante kwa kuelewa, wasalimie sana hapo ikulu.
NIDA-INEC-CCM
Wakuu kama alivyotueleza Pole pole, hakuna kukwepa kupiga kura ilimradi unayo NIDA.
Yaani usipoenda kupiga kura wanakupigia na ukienda kupiga wanakucheka.
Kura yako baki nayo...
Hizo barua zinahusu nini na zinatoka kwa akina nani ndio jambo ambalo bado sijaelewa
Na zinaenda kwa viongozi wa dini gani?
Yaani ni kufuatilia kila jambo pili Amani yetu idumu
Maneno ya Humphrey Polepole yameweka hadharani kile ambacho tulikuwa tukisema kwa miaka mingi – CCM si chama tena cha siasa, bali ni kampuni ya mafisadi wenye maslahi binafsi.
Amedai wazi kuwa...
GT
Ni maajabu hawa wanaojiita tume huru ya uchaguzi huku majina ya wapiga kura yamefichwa
Mi najiuliza kwa nini wanahitaji namba ya kadi ya kupiga kura ili niweze kuona jina langu?
Hii ina maana...
Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa...
Japokuwa Serikali yetu haiongozwi na Malaika, lakini kusema kweli yapo mambo mengi yanayoendelea nchini yanayotia kichefu chefu, kukatisha tamaa na kusikitisha.
Hali hii ya mambo imesababisha...
Nimeshindwa jinsi ya kuupata ule uzi niliweka hapa miaka kama mitatu imepita. Kwamba procurement officer wa mizigo alikuwa Sabaya.
Ndio maana alijiamini sana ndugu Sabaya.
Haya sasa, na...
Ethiopia imepiga marufuku watu wasiosomea udaktari kuitwa au kujiita madaktari ima kwa sababu ya udaktari wa. heshima kama ule wa Jakaya Kikwete na Samia au wa kununa kama ule wa Gwajima na...
Humphrey Polepole, amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu hauna ushindani wa kweli, kwa kile alichodai kuwa kinachoonekana ni “CCM dhidi ya CCM.”
Polepole ameeleza kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na...
Mpina kuvaa Tshirt yenye picha ya hayati Magufuli anaweza kuwa ni 'Right Person in the wrong Party'
Luhaga Mpina ni mgombea Urais kwa Chama Cha ACT wazalendo. Tangu akiwa Mbunge Mpina ni mtu...
Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri mema ikiwamo kuimarisha muungano na umoja kama Taifa.
Kadogosa ameyasema...
GT
Ukifuatilia kwa umakini madai ya polepole tatizo utagundua ni wanausalama wetu siyo CCM. Vyombo vyetu vipo corrupted na wanasiasa kiasi kwamba hawaoni mambo yenye kuhatarisha usalama na...
Meneja wa Huduma za Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka waandishi wa habari kuwa mstari wa mbele kukemea vurugu na migogoro yoyote...