Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii imekaaje au ina maana gani CCM inagawa baiskel, bodaboda vitenge kanga na zawadi nyengine kwa watanzania. Ila cha kushangaza pia inaomba mchango wa hela za kampeni billion 100.
6 Reactions
20 Replies
821 Views
Mama katika vitu alivyofanikiwa ni mawaziri wake na wakurugenzi wa mashirika ya serikali kuwa mabilionea. Siku hizi mawaziri ambao sio manilionea wanachekwa . Wakina Mwigulu wanashindana na...
21 Reactions
33 Replies
2K Views
Maana sikusikia popote wala kuona kama Timu ya Simba ilichangia chochote kwenye Harambee kabambe ya ccm, iliyokusanya Matajiri wengi akiwemo hata raia wa kigeni Harbhinder Seth. Ni kwanini Simba...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
KAZI alizozifanya Mh. Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kipindi cha miaka 4 ni kubwa Sana, zinaonekana kwa kila Mtanzania. Hakuna sababu ya kutompigia...
2 Reactions
75 Replies
2K Views
Hivi unaijua elimu ya Rais Samia kwa mtaala wa Tanzania? Hivi mnajua kuwa kidato cha nne hakufanya vizuri? Hivi mnajua huyu ndiye Rais wetu na hii ndiyo level yake ya elimu? Baada ya hapo akaenda...
28 Reactions
150 Replies
8K Views
My Take Ongezeko la mishahara limemwaga pesa mtaani na kuongeza mzunguko wa Fedha. ===== Chini ya Rais Samia, mishahara ya watumishi wa umma imeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2020|21. Katika...
6 Reactions
93 Replies
3K Views
Hali ya kisiasa katika kata ya Msimbati imechukua mkondo wa taharuki, baada ya baadhi ya wananchi kudai kuwa hawatashiriki kupiga kura kufuatia jina la diwani wao kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi.
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Haya makundi historia ndani ya CCM itawakumbuka sana Nawatakia Dominica njema 🙏
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu...
2 Reactions
72 Replies
2K Views
CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata...
1 Reactions
0 Replies
402 Views
Kada wa CCM , Msomi wa masuala ya Uchumi na Usimamizi wa Miradi, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Enock Koola ameteuliwa na chama chake cha CCM kugombea jimbo la Vunjo...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mpaka sasa nchi nzima tunakubaliana kwamba utendaji wa serikali unazorota kila kukicha, wafanyakazi wa serikali wanafanyakazi wanavyojisikia, kama hauamini hili subiri utakapopata shida ya...
8 Reactions
63 Replies
3K Views
Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi...
122 Reactions
240 Replies
19K Views
Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?. Ni majenereta...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
c&p Kutoka X Hawa ndio wanapambana kwa nguvu zote ili wamnyonge Lissu. Tuwaombee maisha marefu ili nao siku moja wavalishwe pingu na kusimama Kizimbani Nassoro Katuga Tawabu Issa Job mrema...
4 Reactions
1 Replies
552 Views
Combination ya Makonda na Sabaya kwenye serikali ya awamu wa tano ilikuwa ya kuotea mbali na shida za wananchi zilitatuliwa papo kwa papo field. Sasa baada ya Makonda kurudi kama katibu mwenezi...
-8 Reactions
76 Replies
3K Views
Jimbo la Chato ni kama limetelekezwa na mbunge wake Medard Kalemani kwani toka atumbuliwe kwenye nafasi yake ya waziri wa nishati amegeuka bubu. Chato ilijengwa stendi nzuri sana ya mabasi lakini...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…