Tanzania hivi sasa kuna zaidi ya magazeti 200, vituo vya TV, vituo vya REDIO na mitandao ya kijamii. Jambo la ajabu ni kwamba ni gazeti moja tu (TANZANIA DAIMA) pekee wamekuja na propaganda ya...
Hivi ni vijembe vyake mzee huyu akiongea TBC1 asubuhi hii kutoa tathmini ya jinsi watanzania hususani wans Dar walivyofanikisha ziara ,ya Obama.
Amesifia wingi na utulivu wa vijana...
Ndugu zangu,
Katika saa 20 na zaidi Rais Obama alipokuwa katika ardhi ya Tanzania, sikusikia mahali popote akitamka jina la chama chake cha Democrat. Obama ametamka ' AMERICA!' mara...
Wawekezaji waitafuna nchi
• Bunge layeyusha ripoti ya ufisadi huo
na Edson Kamukara
Tanzania Daima
SERIKALI bado inaendelea kupoteza mapato makubwa kutokana na misamaha ya...
DEMOCRACY it's all about how you treat dissenting voices and oppositions kama mnataka aimbe kwa kutaja majambazi hana muda wa kusema maneno mengi, obama ana sifa ya kutumia maneno machache sana...
Kupitia Tanzania strategic cities project miji ya Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya na Tanga imependeza jamani tuache unafiki na watu wa Mbeya na Arusha hata bajeti ya kununua kiwi imepungua.
Obama: Uwazi wa Mikataba, Lumumba
Hatimaye Barack Obama, Rais wa Marekani anatembelea tena bara la Afrika. Hii itakuwa ni mara ya pili Obama kutembelea Bara hili alikotoka baba yake baada ya...
Unaweza kuona hali ilivyo kule Egypt. umma umeamua kumpa red card President Morsi Just one year tokea alipokalia ikulu. Na jeshi nalo likasema yes, Umma usikilizwe - Mr.President akae pembeni...
Ni muda mrefu sasa,tena sana umepita tangu maagizo mawili tofauti yatolewe na mawaziri wa wizara mbili tofauti kama ifuatavyo; {1} wakati mhe Joel Bendera akiwa naibu waziri wa utamaduni na...
CDM ni chama chenye watu makini, nategemea kitamsimamisha mtu makini 2015 katika kiti cha Urais. Dr Kitila ni miongoni mwa watu wenye hadhi na heshima kwa jamii, lakini anatakiwa kupitishwa mapema...
Kwa mujibu wa gazeti la washington post pamoja na blog yake ni kuwa serikali ya Tanzania imelipa deni alilokuwa anadaiwa afisa ubalozi wa Tanzania Bw.Mzengi ambaye alihukumiwa na mahakama huko...
WEDNESDAY, JULY 03, 2013
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (Kulia) akishuhudia Balozi wa China hapa nchini Balozi Lu Youging akiweka sahihi katika...
Nikiwa ktk kampeni hizi za udiwani jijini mbeya ulohitimishwa kwa CCM kupigwa chini,mgombea wa ccm alikutana na maswali haya yafuatayo
1.Hatujawahi kukuona msibani hata mara moja,na huwa hukai...
Kulikuwa na mgomo wa Madaktari uliokuwa ukiongozwa na Jumuiya ya Madaktari nchini chini ya Uenyekiti wa Dr.Stephen Ulimboka. Madaktari wetu walikuwa na maombi mbalimbali kwa Serikali juu ya...
KUTOKANA NA HALI YA KISIASA ILIYOPO KATIKA NCHI YETU YA TANZANIA IMENIBIDI KUCHUKUA UAMUZI WA KUELEZA MAWAZO YANGU KWA WATANZANIA WENZANGU AMBAO NDIO WAATHIRIKA AU WAHANGA AU WASHABIKI WAKUBWA WA...
NCHI ZILIZORUHUSIWA KUSHIRIKI KWA KUULIZA MASWALI REMOTELY NI NIGERIA, KENYA NA UGANDA, NAHISI VIJANA WA TANZANIA WALITUPIGA CHINI KWA SABABU LUGHA INATUBANA.
Katika ugeni wa juz na jana alikuwepo pia rais mstaafu wa usa bwana Bush, cha kushangaza ratiba ya alipotembelea haikuwekwa wazi na wala watu aliokutana nao hawakutangazwa. Inasemekana kuna muda...
NEC ya ccm, policeccm, madam speaker, bunge pamoja na wale wakuu wamikoa viherehere inabidi wapate/wapewe hii lecture, constantly, at least for a week, alafu baada ya lecture wapigwa examination...
Msanii maarufu wa bongo fleva anaejulikana kwa jina la qwiki raka amesema CHADEMA ni chama makini sana. Msanii huyo amesema hayo maneno wakati akifanyiwa mahojiano katika kipindi cha SIZ KITAA...