Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa...
24 Reactions
109 Replies
8K Views
Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole...
0 Reactions
5 Replies
494 Views
“Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Nimeuliza swali hili baada ya kumuona waziri mkuu Majaliwa kwenye shughuli kadha wa kadha za serikali kama vile kukagua Mwendokasi na SGR huku akiambatana na Rais wa Burundi. Wakati fulani...
1 Reactions
9 Replies
806 Views
Jana Halmashauri kuu ya CCM, imefanya uteuzi wa wagombea ubunge Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania na uwakilishi katika Baraza la wawakilishi Zanzibar. Naungana na wanachama wenzangu wa CCM...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mliosema hawezi kwenda mwamba huyu hapa😀😀😀
0 Reactions
3 Replies
410 Views
Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Subirini movie nyingine mtacheka Sana watia Nia wa kijani watapita bila kupingwa Mtashangaa 25% ya watia nia wa ubunge na udiwani watapita bila kupingwa kwa sababu wameweka mamluki yao kuchukua...
1 Reactions
1 Replies
230 Views
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea...
13 Reactions
50 Replies
3K Views
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015 Mheshimiwa...
1 Reactions
192 Replies
50K Views
Mwali kaona Mapungufu yake, baada ya Novena , hivyo kupendekeza apewe Matron . Matron kasoma Sheria , hivyo anajua umuhimu wa Katiba, maana ya Uhaini, na madhara ya Kufungia Kanisa la Ufufuo na...
3 Reactions
4 Replies
576 Views
Alianza kumuondoa katika Baraza la mawaziri. Licha ya kushika nafasi ya kwaza katika kura za wajumbe pale Tanga mjini jina lake limekatwa huku Halmashauri Kuu ya CCM NEC
6 Reactions
65 Replies
3K Views
Usaliti ni kitu kibaya sana. CCM isingeliweza kuenda kwenye uchguzi peke yake kama vyama vya usaliti visingelikuwepo. CCM haiwezi kusimama peke yake kwenye uchaguzi, hivyo hao wanaojiita...
1 Reactions
9 Replies
560 Views
https://www.youtube.com/live/YJTPFaK3cVM?si=iZMZR7wQq3I2HsEA
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
WANU H. AMEIR ATEULIWA NA CCM UBUNGE JIMBO LA MAKUNDUCHI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Ndugu Wanu Hafidh Ameir kugombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa...
1 Reactions
2 Replies
653 Views
Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wanabodi, ni wazi kwamba huko nyuma, hakujawahi kuwepo "ubunifu" kama huu wa "Chama Dola", kuchangisha fedha kutoka kwa watu, mashirika na taasisi mbalimbali na maigizo yake yote yanayoambatana na...
18 Reactions
39 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…