Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tuesday, July 16, 2013 | 10:15 PM Jaji Buxton Chipeta. Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu Tanzania, Buxton Chipeta amefariki dunia muda mfupi...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Jumapili wakaazi wa Arusha wa kata za Themi,Kimandolu,Kaloleni na Elerai wanategemea kupiga kura kuchagua madiwani wa maeneo yao. Uchaguzi wa mwaka 2010 ushindani mkubwa ulikuwa baina ya CCM na...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Edwin Mtei MAPENDEKEZO haya nayaandika ili niyatumie nitakapopata fursa ya kukutana na Tume ya Marekebisho ya Katiba. Endapo tume itayataka baada ya maelezo yangu, nitawaachia nakala ili...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Nation in tears!! Rudisheni wanetu nyumbani. Tanzania haiko vitani. Tunafanya nini Darfur ambako eti haturuhusiwi kutumia silaha? JWTZ boys have nothing worth dieing for at least for now. Long...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Pole sana binti wa Lumumba,najua umeshakata tiketi ya bus kurudi Lumumba
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Hebu tuyapitie mashairi haya ya wimbo wa Bob Marley na tuyaangalie kwa jicho la tofauti. CCM ni mti mkubwa na CHADEMA ni kishoka kidogo tu kilichonolewa barabara. Why boasteth thyself Oh, evil...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
WanaJF! Leo ni siku ya kesi ya bwana Lwakatare kusikilizwa kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, lakini kesi imehairishwa mpaka July 22, 2013. Pamoja na hayo, mshitakiwa na.2 bwana...
1 Reactions
267 Replies
20K Views
Wadau je mawaziri wa serikali ya mapinduzi Zanzibar wanalipwa masilahi kama wanayolipwa mawaziri wa Tanzania bara, na je mawaziri wa Zanzibar nao wanatembelea kwenye magari aina ya Toyota...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanikiwa kunasa siri za mipango ya hujuma zilizokuwa zimeandaliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata nne za...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zilizonifikia ni kwamba, wapiga kura wote waliopokea chochote kutoka CCM Arusha na kugoma kuipigia CCM kura, watakumbwa na chungu hicho..ole wako kama ulipokea chochote, chungu kitakula...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Dr. Kiiza Besigye anayeongoza upinzani nchini Uganda na ambaye anamnyima usingizi mtawala Museveni aweka wazi jinsi anavyoipenda Chadema na kukiri kuwa kina vijana mahiri waliojtoa kutetea...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua, au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo...
6 Reactions
80 Replies
6K Views
Mimi mwenyeji wa monduli nimekuwa nje ya wilaya kwa muda mrefu lakini niliporudi nilikuta monduli ni vile vile hakuna chochote, watu wamechoka sana, wanaishi mazingira magumu sana, mifugo hawana...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
WanaJF; Tumekuwa kila siku tukiongea humu jukwaani kuhusu jeshi la polisi kufanya kazi kwa kukibeba chama cha Mapinduzi, nafikiri jeshi la polisi limekuwa kiziwi, wameamua kuweka chini weledi wao...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Kesho kutakuwa na mkutano utakao kuwa na wabunge wa kanda ya ziwa, utakaofanyika kesho soko jipya Biharamlo mjini na vitongoji vyake. nitawaletea yatakayo jiri
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna watu wanajidanganya sana Kwa kusema yule meya wa kichina wa jiji la Arusha hataondolewa. . Meya huyu hakushushwa kutoka mbinguni mpaka asiweze kutolewa. Kama Rais wa jamuhuri ya Muungano...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
I’m 100% member of CCM and I do not have a plan to change, because CCM hasvision although some of its leader has no love to fellow Tanzanians, they aredoing and living as if there is other planet...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
1. Bajeti nzima ni Trilioni 18.2; ambapo Trilioni 11.1 sawa na 61% zitakusanywa kutoka kwenye mapato ya ndani (GBS itakuwa ni Trilioni 1.16, pia wafadhili watatoa Trilioni 2.7 ni misaada na mikopo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale ambao mnakumbuka kuwa siku ya ijumaa usiku wa manane Polisi kutoka Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni wakiongozwa na RCO wa Kinondoni walienda nyumbani kwa Mbowe majira ya saa saba usiku kwa...
16 Reactions
331 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…