In the wake of the latest attack on United Nations peacekeepers in the Darfur region of Sudan, the Prosecutor of the International Criminal Court (ICC) reiterated today that such incidents may...
"tunazo Sababu Za MSINGI SANA kukata RUFAA ya Matokeo ya Udiwani kata zote Nne Za Arusha , Tunazo Sababu hizi Za msingi kabisa
1:- KWANINI tume ya uchaguzi isimamie uchaguzi wakati polisi wetu...
Dr Jakaya Kikwete amesema, kiukweli hali shwari nchini, kuna kila dalili ya kupotea kwa amani ambayo imekuwa tunu yetu ya muda mrefu. Wanasiasa na makundi ya dini yamekuwa ni moja ya makundi...
Upanga, masaki, Oyster-bay, changombe uzunguni na kati kati ya jiji, kuna viwanja vya watoto kuchezae mabembea na kuruka ruka, lakini Tegeta,Ukonga,KImara,buza buza, mbagala na kwinginewe, hakuna...
Mawaziri dhaifu ambao hata hawastahili hata kupewa uenyekiti wa kijiji
1. S.kawambwa
2. J.magembe
3. S.muhongo
4. G.mkuchika
5.mathayo D.Mathayo
6. M. Pinda
7. H. Ghasia
8. W.lukuvi...
N.A.M ilikuja baada ya vita baridi kuwepo kati ya USA na URUSI, sasa ukomunisti umekufa na vita baridi kutokuwepo tena, sasa N.A.M ina kuwepo kwa jambo gani?Mbio za mwenge nazo sijui zina maana...
Ndugu wana JF habari zenu,
Nimekuja tena kuwajuza namna serikali ya CCM inavohujumu wafanyakazi wake na hasa WALIMU,ni hivi majuzi tu walimu waligoma na kupelekea wanafunzi kuhaha huku na kule...
Baada ya ziara ya Rais Black Obamiza kuwabamiza `mkenge walevi kwa kuhalalisha ujambazi wa Richmonduli, alipofungua mradi wa Symbiosis bint Richmonduli bint Dowans bint EPA bint Luwasha, kikao...
Waziri Mgimwa na Waziri wa Sayansi na Teknolojia-Makame Mbalawa, wamesema suala la tozo la simu tsh 1000 kwa mwezi kwa kila simu card, haliwezi kubatilishwa mpaka litakaporudishwa tena bungeni...
Taarifa kwa raia wote...kesho mambo yote
Mabibo Uwanja wa Sahara....
Dk Slaa.Mnyika,mabere marando.Tundu Lisu watawasha Moto...
Amka tuikomboe Dare es laam.
Sambaza kwa wengineo taarifa hii...
Ngoma itakuwa tarehe 15 sept. 2013.
CHADEMA watajitokeza wengi sana kugombania hiyo nafasi. Atakayeshinda anakiwakilisha chama, walioshindwa wanaongoza kampeni.
Kwa CCM itakuwa korokocho...
Kweli siku ya kufa CCM kila kitu kitawapuuza,kila kazi wafanyayo inakuwa kufuru ktk nchi.Pmoja na kuwa CCM inatumia hela,vitisho kuwakusanya na kuwanunu waandishi wa habari wa vyombo vyote nchi...
Wakati tunafikiria mkataba wa banadari ya bagamoyo.Tayari uwanja tuliodhani kuwa ni msaada wa china na hela ya wavuja jasho wa tanzania.Tunasikia kila siku hela ya mchina?Je serikali ilifanya kama...
D.E.O msingi wilaya ya mbinga amekuwa anafanya kazi kwa migogoro na ubabe uliovuka mipaka kwa muda mrefu sasa.kwanza aliwalazimisha walimu wakuu kutumia fedha za captation kulipia mitihani ya kata...
WAKATI taasisi ya Kijerumani ikitoa ripoti iliyoainisha ‘madudu' mengi yaliyofanywa na Serikali ya Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeanika matukio yote mabaya...
Ndugu zangu watanzania wenzangu, ninaleta kwenu baadhi ya uovu wa serikali ya CCM na uteuzi wa viongozi unao likumba taifa letu kwa kulindana katika ngazi za juu. Kabla ya kuanza na viongozi...
Wapinzani wa nchi hii kuna wakati wanashangaza sana,
Alianza mbowe kwenda ikulu kufuata mwaliko wa ziara ya obama kipindi kifupi tuh mara baada ya kutoka kukoswa koswa na mabomu huko arusha,watu...
Kudhihirisha kuwa Hoja ya Kodi ya laini za simu imekuwa mwiba mkali kwa serikali na viongozi wake, na kuendelea kwa malalamiko ya Wananchi watumia simu kuwa kodi hiyo haikubaliki (japo imeanza...
Mashirika ya Umma yaagizwa kuchangia asilimia 10 ya mapato yake ili kunusuru hali hiyo Dar es Salaam. Miradi mbalimbali ya Mashirika ya Umma nchini, iliyopangwa kutekelezwa Mwaka 2013/2014...