Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefurahi sana leo kumuona Nicholaus Ngowi maarufu kama mtoto wa seremala akilaani kodi ya line za simu kupitia ITV. Mara ya mwisho kumuona nilimtembelea Mwananchi hospitali Mwanza mwezi wa pili...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeamini kuwa ukitaka kufanikiwa kibiashara jiingize katika siasa tena katika ccm. Wiki mbili zilizopita kumekuwa na mjadala WA mafuta ya ubuyu na athali zake. Hali hii imelishitua taifa kwani...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Mbunge wa Arusha Mjini,Godbles Lema(CHADEMA) Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimefungua kesi ya madai, yenye gharama zaidi ya Sh. milioni 35.1 dhidi ya waliokuwa madiwani wake...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema tozo hiyo si ya kuwaumiza wananchi bali mapato yake yatakwenda moja kwa moja kusaidia kueneza umeme vijijini. Alisema hayo alipozungumza kwenye mkutano wa...
3 Reactions
151 Replies
11K Views
Wanajumvi unapomwona au kusikia mbunge wa ccm au waziri wa serikali alilalamika dhidi ya kodi inayotozwa kwenye laini za simu kuwa inawaumiza wananchi ninikinakujia akilini mwako?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mbunge wa Singida Mashariki akiongea kwa nini anaamini Muungano wa Tanzania umekufa alipokuwa katika kipindi cha Makutano Magic FM kinachoendeshwa na Fina Mango. Kwa Maelezo zaidi ya mahojiani...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Tuache masihara! kiongozi anajisifia jinsi alivyoboresha huduma za afya nchini! Elimu bora kwa kuongeza madarasa, n.k. Lakini watoto na jamaa zako hamtibiwi katika hospitali hizo za serikali, wala...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu wa shule za Sekondari wamepokea meseji wakiambiwa kuwa kesho ni lazima walimu wote na wanafunzi waende kumlaki Rais wakati atakapokuwa anaelekea kuhutubia wananchi wa Bukoba ikizingatiwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Aliyekuwa naibu meya wa manispaa ya Iringa G. Ndaki akiomba kura kwa wajumbe kabla ya kujiuzulu Katibu wa Chadema wilaya ya Iringa mjini Suzana Mgonakulima na diwani wa kata ya Mvijeni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salamu wanajamvi! Hadi sasa sijajua kulikoni Kagame aporomoshe matusi dhidi mkulu au ni jeshi kuingia Kongo ambako Kagame anasadikiwa kuwasupport M23? Naomba kuwasiliosha Pia, soma: Kagame...
2 Reactions
170 Replies
15K Views
Nilikuwa kimya kwa muda kidogo kujadili siasa ili nipate nafasi ya kutafakari juu ya 'mabomu ya CHADEMA'. Lakini,nakosa cha kujadilisana.Vitu viko wazi sana. Ni hivi,ulipotokea mlipuko wa bomu...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika utafiti uliofanywa na shirika la umoja wa mataifa la utetezi wa haki za binadamu(Human Right Watch) limethibisha kuwa Rwanda inajihusisha moja kwa moja na kundi la M23,utafiti huo ambao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF, Mtakumbuka kuwa waziri wa ujenzi Bw. Magufuli alikuwa na mbwembwe kweli na majigambo ya kutoa takwimu za ujenzi wa miradi ya barabara tanzania katika mikutano na vyombo vya habari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa ufupi *.Kukosekana kwa utashi wa kisiasakatika mpango mzima ndiyo hasa chanzo cha hali hiyo ambayo tayariimechukua sura ya kashfa. Mwaka 1973, yaani miaka 40 iliyopita Serikali iliamua...
0 Reactions
1 Replies
865 Views
Baada ya kutumia mbinu nyiingi kuwahamasisha wananchi wakate upinzani wa ukweli katika taifa letu, CCM wamekuja na mbinu mpya ambayo kwa bahati mbaya inawaumiza watu wengi, ikiwa pamoja na kupotea...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Reduced investment in mining could hit Tanzania's goal of having the sector contribute at least 10 per cent of GDP by 2025. The industry's contribution to the national economy...
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Akiongea kwa kujiamini, kwa majigambo, mbwembwe na vitisho, Membe, alitoa mfano wa Madagascar; kwamba mcheza disco Rajoelina, ambaye asipofanya maandamano miguu yake inawasha, alijaribu kuiondoa...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Wafuatao nina mashaka na elimu zao,hivyo naomba mwenye cv aweke hapa jamvini nithibitishe kwa kuangalia cv zao. 1.Lukuvi 2.Pinda 3.Komba 4.Ngonyani(maji marefu) 5.Said Bundala(maarufu kama...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
mambo mengi yanayofanywa na serikali yanasababisha wananchi kuichukia CCM na viongozi wake. kwa mfano:- 1. bomu la Arusha watu wamesema polisi wamehusika,kwa nini tume haiundwi kuondoa utata huu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chadema sijui inaota! au CCM sijui Imeziba masikio! Sasa ni wazi kuwa Chadema inafanya kila liwezekanalo ili kishinde Uchaguzi Mkuu wa 2015, Kila mwachadema anaamini kuwa Chadema itashinda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…