Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanazi wa CHADEMA naomba mnijuze kidogo ni sababu gani chama chenu hakina viongozi wa kuchaguliwa ndani ya wilaya ya Temeke? Katika pitapita zangu nimegundua madiwani na wenyeviti wa mitaa na...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Tunapopiga kelele Kiongozi wa serikali katumia hela vibaya...matumizi yasiyo rasmi au ni rasmi lakini kwa data za uongo,na tuposema Kiongozi wa chama naye katumia fedha za chama vibaya katika...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mambo 10 ambayo CCM hawawezi kuyazungumzia: 1.Fedha za EPA zipo wapi 2.Fedha za rada zipo wapi 3.Fedha za CIS zipo wapi 4.Miktaba ya madini ipo wapi 5.Rushwa kwenye madini na maliasili...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Mimi sielewi na nimechanganyikiwa. ....Moja ya hadidu rejea walizopewa Tume ni Kuhusu Muundo wa Muungano. Watanzania wengi wametoa maoni ya serikali tatu. Sasa CCM ni nani hata wawapangie wajumbe...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zanguni, Kama mjuavyo, viongozi wa chadema wanaongoza kwa kutokwa povu pale wanapopigia kelele jambo fulani au kuikemea serikali. Na wote tunajua kama kutokwa povu ni kipimo cha uongozi...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi yahusuyo utovu wa maadili ya kitaaluma katika sekta ya afya kwa nyakati tofauti, malalamiko ambayo yamefuatiliwa na vyombo vya habari, na kugundulika kuwa, licha ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Katika kikao cha kujadili amani na usalama kilichosimamiwa na mkuu wa wilaya ya Kibaha bi. Halima Kihemba na kuhudhuriwaviongozi wa vyama vya siasa na viongozi wa madhebu ya dini Mlandizi, wajumbe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wa JF. Naomba nitaje matatizo ambayo yako CHADEMA. 1. Kupeana Ubunge kwa kujuana, e.g viti maalumu Ndesamburo vs Lucy Owenya Mbowe vs Grace Kihwelu Lissu vs...
1 Reactions
65 Replies
5K Views
Mjumbe wa Tume ya Katiba kumzuia mmoja wa wajumbe wa Mabaraza ya Wilaya kutumia waraka wa CCM kutoa maoni yake.ILI MNALIONAJE WADAU,,,
0 Reactions
0 Replies
780 Views
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Aggrey Mwanri, ametangaza kuanza kuwachukulia hatua vigogo wote wa halmashauri walioiba na kuhamishiwa katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu nikisema Tumelaaniwa sidhani Kama nitakuwa nimekosea. Nani asiyejua kashfa za Mbunge Chenge. Chenge alituingiza kwenye kashfa ya rada, rada ikanunuliwa kwa gharama ya juu...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Chadema kimepinga kauli ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuhusu hatima ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 kikisema mchakato wa sasa wa Mabaraza ya Katiba, usiwe kikwazo cha...
0 Reactions
3 Replies
901 Views
Sasa imeshakuwa dhahiri kuwa CCM hawakuwa na mpango wa katiba mpya yenye mabadiliko makubwa ya kiumfumo badala yake wamelazimika kuingia kwenye mchakato huu ili kutii maamuzi ya Dr.Kikwete...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa hili. Ni wakati mwingine nakuja na uzi huu baada ya kupata utata, mgongano wa mawazo na pia...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Kambi Rasmi ya Ulpinzani Bungeni imeikemea vikali Serikali ya JK kukomesha haraka biashara ya dawa za kulevya ambayo imekithiri hapa nchini la sivyo ikubali kubeba lawama kuwa inahusika na...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
CCM wanasema wanautaka muungano lakini hawataki serikali tatu, hii imekaaje?. Ninavyo jua mimi serikali mbili tayari zipo ambazo ni Zanzibar na Tanganyika ambayo imejificha, na serikali ya tatu...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau kuna habari zimeripotiwa na Gazeti la Mwananchi kuhusu Chama tawala kinavyo vuruga mchakato wa katiba mpya. Naombeni msome wenywe hapa chini muone Leo tumechapisha katika gazeti hili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tujikumbushe ahadi za mwana TANU ambazo zilizoluja kurithiwa na CCM ya zamani. Kwa sasa ahidi hizi zimebadilika sana. No CCM ya ZAMANI CCM ya .COM 1 Binadamu wote ni ndugu zangu na Dunia ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo...
5 Reactions
145 Replies
10K Views
Wana jamvi, Wakati nikitafakari juu ya kodi za laini za simu nilijikuta nikiingiwa wazo la msamaha wa kodi za bodaboda. Mtakumbuka waziri wa fedha kwa mbwenbwe akisema kuwa kuanzia sasa vijana wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…