Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Poll Poll
Hawa ni wagombea wa kiti Cha ubunge waliopitishwa na vyama vyao kugombea kuwakilisha Jimbo la kigoma mjini katika uchaguzi mkuu ujao wa uraisi,ubunge na udiwani utakao fanyika mwezi Oktoba mwaka...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, vyama vya siasa nchini Tanzania vimeweka mkazo mkubwa katika kuzungumzia maendeleo ya teknolojia ya kidigitali na nafasi ya akili mnemba (AI) katika kuchochea uchumi...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Msaanii wa muziki nchini Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo ameteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025
12 Reactions
155 Replies
10K Views
Tumekaribia, ng'ambo yetu ile paleee! Ushindi upo upande wetu No reforms no election ina upepo wa Mungu wenye kisulisuli, unaangusha mibuyu na mibuyu Ndani ya CCM, hivi punde watauimba huu...
20 Reactions
35 Replies
2K Views
Ndugu wana JF na jamii kwa ujumla sasa ni dhahiri kuwa hakuna jipya tena kwa hawa waganga njaa Gwajima na mwenzake polepole Gwajima alitoa mkwara mzito kuwa baada ya siku kumi atakuja kuongea...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
CCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba...
0 Reactions
18 Replies
711 Views
Mi nasema siasa MCHEZO konyo kabisa,🤣😂😆najiuliza ni Zitto yule wa Chadema au huyu wa Act Wazalendo anae kwenda KUPAMBANIA ubunge na Baba levo? Je angelikuwa wa chadema angeshindwa na Baba Levo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
CCM ya zamani ilikuwa inafuata yale waliyoandika ili yawaongoze katika utumishi wao ndani ya Chama na Serikali. CCM ya zamani ilikuwa inaongozwa na Imani za Mwanachama. Hakuna mwanachama ambaye...
1 Reactions
0 Replies
174 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Rukwa katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
0 Reactions
2 Replies
454 Views
Habari za Asubuhi! Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake. Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo; 1. Pesa 2...
10 Reactions
64 Replies
3K Views
Wajinga ambao hutumia fake I'd , key body warriors , Wamekaa, wakisuburi Polepole, Gwajima na Lissu wawapambinie. Ni ujinga mkubwa Sana huu. Lissu aliwahi kusema hakuna kumuachia Mungu.
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Katika kipindi cha uchaguzi mkuu, taarifa kuhusu wagombea husambaa kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii. Hata hivyo, si taarifa zote ni sahihi; nyingine huenezwa bila uhakika na mara nyingine...
0 Reactions
1 Replies
507 Views
Katika hali ya kushangaza kutoka vyanzo mbalimbali vinaonyesha kuwa tozo za abiria Viwanja Vya ndege Dola 45-90 zinakwenda mifukoni mwa watu mafisadi badala ya serikali, kampuni feki ya Samir...
1 Reactions
1 Replies
251 Views
Mzee Butiku akihojiwa na Fakhia Middle huko Butiama kwenye kipindi cha kipima joto mwanzoni mwa mwezi huu, pamoja na kukiri na kukubali kuwa 1. Hakuna haki, 2. Uteuzi wa mgombea wa CCM ulikiuka...
20 Reactions
23 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza kutoka vyanzo mbalimbali vinaonyesha kuwa tozo za abiria Viwanja Vya ndege Dola 45-90 zinakwenda mifukoni mwa watu mafisadi badala ya serikali, kampuni feki ya Samir...
0 Reactions
1 Replies
199 Views
Taarifa za uongo zilizosambazwa mtandaoni hivi karibuni kuhusu kifo cha Mkurugenzi Mkuu wa Vipepeo zimeibua gumzo kubwa baada ya Mstaafu wa Kyuba kutoa neno jana. Kilichoshangaza wengi ni namna...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kuifuta kesi ya Kikatiba ya Kupinga uteuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais Oktoba 29 2025, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
3 Replies
714 Views
Makeup imezidi mpaka mama amepoteza uhalisia wake. Siyo sahihi kwa mgombea Urais kujibandika ma makeup mengi hivi mpaka apoteze uhalisia.
0 Reactions
0 Replies
488 Views
"....TULIKOTOKA NI KARIBU SANA KULIKO TUNAKOKWENDA......" Kwanini??? Samahani ndugu yangu: Umenichekesha sana karibu nipasuke mbavu. Kwanini unauliza majibu? Hivi hujui kuwa katika "MoU" ya CCM...
4 Reactions
2 Replies
749 Views
Wakuu wa maendeleo, vijana wa mabadiliko, na wazalendo wote wa Tanzania – tarehe 28 Agosti 2025, kiwanja cha Kawe kitakuwa kitovu cha matumaini mapya. Tusikose kukutana, kwa mshikamano na mshindo...
0 Reactions
6 Replies
546 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…