Wana jamvi,
Nnimejaribu kupita pita katika jimbo hili langu ama la wananchi wa Same Magharibi yani ni sawa na mtoto mkiwa huwezi amini shida wanazokutana nazo watu wa jimbo.
Hili wiki moja...
Ziara ya kimyakimya ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM mkoani Kigoma imeanza kuzaa matunda baada ya leo CCM kuiadhibu NCCR-Mageuzi Kibondo kwa kushinda kiti cha Mwenyekiti wa Halmashauri ya...
Taarifa ya wanachama wapya kwa takwimu za wakazi wa bunda mjini data 2010
s/no. Kata sehemu/kijiji wanachama wapya wakazi
1 bunda mjini chiringe 405 30,000
2 nyasura...
Habari za uhakika zilizotufikia wana mabadiliko zinasema kwa muda mrefu sasa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora Bw. George Mkuchika anatumia nguvu yake kama Waziri na hasa kivuli cha TISS...
Wacha niote ndugu zangu kuna ndoto zingine huwa kweli hasa za usiku wa karibia na asubuhi yaani alfajiri na kuna zile ndoto za ukiwa umejaza tumbo mihogo yako na ukaenda kulala wakati huo huo hizi...
watanzania wenzangu tumekuwa tukimwona waziri huyu aliyetolewa kama chambo kujiuzuri ili kuwaficha wengine kwa kashfa za kuiba rasilimal za walalalahoi wa TANZANIA!!! Mtu huyu anapita makanisani...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjmani William Mkapa na Rais wa Awamu ya nne Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakati wa futari iliyoandaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia mashtaka raia wa Kenya, Joshua Mulundi kuhusu kumteka na kumjeruhi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk Steven Ulimboka na sasa atakabiliwa na...
Napendekeza serikali moja katika tatu kama ifuatvyo:
Rais wa jamuhuri ya muungano awe na makamu wawili ambao ni Rais wa zanzibar na makamu wa kwanza wa Rais wa jamuhuri ya muungano, Rais...
Hata baada ya mahakama kuu ya rufaa kumrudishia ubunge, ikiwa na kubatilisha maamuzi ya awali ya mahakama kuu kanda ya Sumbawanga yaliyomvua ubunge mbunge huyo kisha, mpinzani wake Ndugu Yamsebo...
Wananchi wa SUMBAWANGA wapenda MABADILIKO YA NCHI HII, Wanaharakati na Wazee walio ondoka CCM mwaka 2010 na kujiunga na CHADEMA, (Mzee Tall Alfred Fidel, Mzee Nkoswe, Mzee Kigalu, Mzee Mafuta...
Historia ina tabia moja ya kujirudia. Kama kuna uchaguzi ulioacha historia ya ushindani mkubwa wa kisiasa nchini Tanzania, basi ni uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi uliofanyika mwaka 1995...
Kile ambacho tunalalamika kila siku na kutoa ushahidi lakini serikali inapuuza.
Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Mbunge wa jimbo la Segerea na Naibu waziri Makongoro Mahanga wamefanyia mkutano...
Kama kuna Nchi ambayo ina Utawala mbovu kabisa hapa Afrika,Basi Nchi hiyo ni Tanzania.
Hapa chini ni ushuda wa namna Serikali hii ilivyo mbovu kupindukia:
-Iliwasamehe wezi wa EPA
-Iliingia...
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi na Uenezi (Nec-CCM), Nape Nnauye, ametuhumu Tume ya Mabadiliko ya Katiba kuwa haitendi haki kwa kuwazuia wajumbe wa Baraza la Katiba kusoma waraka wa chama hicho...
MAONI JUU YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2013.
Sehemu yeyote ambayo haijagusiwa katika Rasimu hii maana yake ni kwamba inakubalika na inapita bila kipingamizi...
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Kata ya Tabata wapo mbioni kusambaratika kutokana na kutopewa kanga,kofia na T-shirt ambazo zilitolewa na CCM katika ujio wa Rais wa Marekani Bwana Ballack...
Kitendo cha Rais wa kwanza wa tanzania Julius Nyerere kuridhia kuitambua mipaka iliyowekwa na wakoloni kama ilivyopendekezwa na OAU miaka hiyo kumeifanya nchi ya Malawi kuwa na uhakika kuwa...
MAONI JUU YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2013.
Sehemu yeyote ambayo haijagusiwa katika Rasimu hii maana yake ni kwamba inakubalika na inapita bila kipingamizi...
Wakuu sasa ni wazi hali ya kisiasa ndani ya CCM mkoa wa Kigoma ni mbaya na ngumu,leo mchana mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma bwana Emmanuel Gwegenyeza,ametangaza kujiuzulu nafasi...