Nape ainusuru CCM Kibondo

Nape ainusuru CCM Kibondo

ACHEBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Posts
348
Reaction score
76
Ziara ya kimyakimya ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM mkoani Kigoma imeanza kuzaa matunda baada ya leo CCM kuiadhibu NCCR-Mageuzi Kibondo kwa kushinda kiti cha Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya kwa kura 17 kati ya 20 za madiwani wote! Vilevile CCM imechukua kiti cha makamu mwenyekiti kwa kura hizohizo!
 
Kwani CCM ilikuwa na madiwani wangapi? Mbona NCCR- Mageuzi walikuwa nao wangapi...Nnape bana acha kutuyeyusha
 
Ziara ya kimyakimya ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM mkoani Kigoma imeanza kuzaa matunda baada ya leo CCM kuiadhibu NCCR-Mageuzi Kibondo kwa kushinda kiti cha Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya kwa kura 17 kati ya 20 za madiwani wote! Vilevile CCM imechukua kiti cha makamu mwenyekiti kwa kura hizohizo!

Ameinusuru vipi fafanua maana hii habari yako ipo nusu inawezekana alichofanya ni kupeleka fedha zilizogeuza wajumbe
 
tanzania chadema leo liliandika kuwa ccm itapoteza kiti au viti hivyo mbona imekuwa tofauti hawa tanzania chadema/tanzania daima vipi mbona tarifa zao haziko varid sasa.
 
Tangu ln vuvuzela lnaweza kufanya ukomboz?
 
tanzania chadema leo liliandika kuwa ccm itapoteza kiti au viti hivyo mbona imekuwa tofauti hawa tanzania chadema/tanzania daima vipi mbona tarifa zao haziko varid sasa.
Nimependa sana hilo jina la Tanzania chadema maana linaonesha ni jinsi gani ulivyoweka matumaini ya Tanzania uipendayo kwenye Chama Makini Chadema...Tanzania Chadema=Ukombozi halisi
 
1000239_403737369732983_112693277_n.jpg
 
CCCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwa ushindi wa kishindo.Nape nakupa BIG Up kwa kuokoa jahazi kuzama
 
mbona kuna uzi humu JF mwenyekiti kibondo kajiuzulu?
 
Nimependa sana hilo jina la Tanzania chadema maana linaonesha ni jinsi gani ulivyoweka matumaini ya Tanzania uipendayo kwenye Chama Makini Chadema...Tanzania Chadema=Ukombozi halisi

mkuu unajikoki kama smg,pole jiandae kuomboleza mkuu.
 
chadema kweli wamegaragazwa tena kigoma wanaendelea kumbwela tu.
 
Ndio kazi yake kukinusuru chama sasa wewe unachoshangaa nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom