Picha na mapokezi ya Yamsebo(CHADEMA)~Sumbawanga

Picha na mapokezi ya Yamsebo(CHADEMA)~Sumbawanga

ANDREWZ

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
66
Reaction score
14
Hata baada ya mahakama kuu ya rufaa kumrudishia ubunge, ikiwa na kubatilisha maamuzi ya awali ya mahakama kuu kanda ya Sumbawanga yaliyomvua ubunge mbunge huyo kisha, mpinzani wake Ndugu Yamsebo apata mapokezi mazito ajabu, kweli Aeshy ana wakati mgumu kuliongoza jimbo la swanga, moja ya jumbe katika mabango yanasema AESHY NI MBUNGE WA MAHAKAMA NA SI WA WANANCHI.

My take; Kama watu unaotaka kuwaongoza hawakutaki,je bungeni waenda kufanya nini? Ni vyema kujitafakari upya!

Subiri updates za picha

attachment.php
 
Hao walioshika mabango ni asilimia ngapi ya wananchi wapiga kura wa sumbawanga?
 
Kipimo cha demokrasia ni kura na sio mabango ya wanywa viloba jipeni moyo
 
Unaenda bungeni kupokea mshahara na marupurubi. Hivi ndugu unaishi mtaa gani?
 
Tulishasema tangu kitambo , mwacheni Ndugu Aeshi aende Bungeni kugonga Meza kwa mara ya Mwisho , maana 2015 hakuna tena atakayeuza kura yake kwa ajili ya Vinanda vya Kwaya .
 
vipi kuhusu vijana wa bodaboda mmeshawalipa pesa zao? kwani wamekwenda kudai kwa mzee yamsebo akasema hana na fujo zikaanza mpaka police wamefika kutuliza fuzo ila mpaka mudaa huu vijana wapo hapo kwake wakisubiri malipo yao.
 
mkuu kasent kama huna la kuchangia si lazima uandike kitu,waweza xoma thn ukapotea
 
matukuta
wenye akili na mtizamo lazima iwachome hasa baada ya dhuruma,lkn mburula kama wwe kwako ni sawa.
 
matukuta
wenye akili na mtizamo lazima iwachome hasa baada ya dhuruma,lkn mburula kama wwe kwako ni sawa.

Hao vijana wameshalipwa au bado ndilo swali la msingi kwa dhulma siyo nzuri na mbaya zaidi mmewaitia police.
 
Aliposhinda mwanzo mahakama ilitenda haki Leo kashindwa mahakama ya rufaaa oh mahakama haijatenda haki. Lema alivyoshinda mkasema mahakama ya rufaa imetenda haki. Ruakatare kafutiwa mashtaka Jana mmeruka kwa shangwe. Ama kweli nyie ni mbululas
 
Inawachoma sana eeh??
Aeshi atabakia kuwa Mbunge wa Sumbawang Daima!
Mkuu unamaanisha milele? Hebu tuulize tuliokuwapo kule, hata CCM wenyewe wanajuta kumsimamisha, na walikuwa wanasubiri uchaguzi mpya wamsimamishe mtu mwingine. Historia ya Aeshi ni zaidi ya kuwa chafu! Unadhani kisa cha Mzindakaya kumkwida shati Pinda ni nini? Aeshi alikuwa ameshashindwa uchaguzi kwa kura, na ndio maana hata matokeo ya uchaguzi yalitangazwa saa nane usiku wakati watu wameenda kulala!
 
Chadema nyie ni wajinga wa kutupwa, Mahakama sio nyumba za Wachaga, mkishinda nyie nzuri, wengine wakishindahazijatenda haki.
Huu upuuzi sasa.
 
Hata baada ya mahakama kuu ya rufaa kumrudishia ubunge, ikiwa na kubatilisha maamuzi ya awali ya mahakama kuu kanda ya Sumbawanga yaliyomvua ubunge mbunge huyo kisha, mpinzani wake Ndugu Yamsebo apata mapokezi mazito ajabu, kweli Aeshy ana wakati mgumu kuliongoza jimbo la swanga, moja ya jumbe katika mabango yanasema AESHY NI MBUNGE WA MAHAKAMA NA SI WA WANANCHI.

My take; Kama watu unaotaka kuwaongoza hawakutaki,je bungeni waenda kufanya nini? Ni vyema kujitafakari upya!

Subiri updates za picha

Wananchi wangekua hawamtaki Aeshi asinge shinda!
 
kwa nini busara isiwatawale? kwa watu makini na wanaopenda nchi hii isonge mbele hawawezi kushabikia Aeshy kuwa mbunge wao maana huyu jamaa ni zaidi ya mbumbumbu. La wanaoona anatosha either hawamjui au kawapa hongo maana huyu jamaa fedha ndio inayofanya awe kama anavyoonekana.Zaidi Sumbawnga mjini ndio mwisho wake maana huyu jamaa hata madiwani wa darasa la saba watamwendesha maana uwezo wa kujenga hoja hana kabisa.CCM wakirudia kupitisha watu mbumbumbu mwaka 2015 nina uhakika ndio mwisho wake Manispaa ya Sumbawanga maana CHADEMA watachukua jimbo tu!
 
Chadema nyie ni wajinga wa kutupwa, Mahakama sio nyumba za Wachaga, mkishinda nyie nzuri, wengine wakishindahazijatenda haki.
Huu upuuzi sasa.

Kweli kuwa ccm unatakiwa uwe na kichwa cha mwendawazimu! polesana gamba
 
Chadema nyie ni wajinga wa kutupwa, Mahakama sio nyumba za Wachaga, mkishinda nyie nzuri, wengine wakishindahazijatenda haki.
Huu upuuzi sasa.
hayo maneno ya kuhusisha chadema na wachanga ndio sasa hivi yanaiumiza ccm
 
Muanzisha thread na Aesh.........hawapishani...........tangu jana hadi sasa tunasubiri updates za picha.......Namakuuuma mkombe......awee wa Ufiii(kifipa hicho) yaani tutakupiga maana we mwongo
 
Back
Top Bottom