Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Polepole NI Noma. Anatema mawe hadi aibu. Project ya ACT imeanza siku nyingi
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu. Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu. Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu. Rais Samia ni Mbarikiwa . Rais wetu...
8 Reactions
100 Replies
4K Views
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa. Hata waliokua wakimfuatilia na...
3 Reactions
99 Replies
4K Views
1. Ugonjwa wa ghafla uliompata "Edward Lowassa" kuelekea 2015 2. Kifo Cha Chacha Wangwe. 3. Kifo cha Sokoine 4. Kifo cha Membe 5. Kifo Cha Dr Mengi 6. Kifo cha Mch Christopher Mtikila 7...
4 Reactions
4 Replies
651 Views
Polepole: Kosa moja Magufuli alilolifanya ni kutaka kufanya maridhiano na watu ambao hapaswi kuridhiana nao, mafisadi, wezi ni moja kosa kubwa sana alilifanya Magufuli akaamini wataridhia na ni...
2 Reactions
7 Replies
642 Views
Naona Science mbadala zinaweza saidia reforms zikapatikana . Tusaidiane kwa hili
20 Reactions
50 Replies
2K Views
Wanabodi, Tangu kutokea kwa Msiba wa Mzee wetu Reginald Mengi, kuna mengi makubwa, mazuri yamesemwa kumhusu mtu huyu wengi kwa kumshukuru Mzee Mengi kwa mema mengi aliyoyatenda watu wengi ila...
25 Reactions
112 Replies
10K Views
Mimi, Charles Andrea Kulwa, nimepokea barua yako leo tarehe 28/08/2025 ukiambatanisha na barua yenye Kumb. Na: RM/INEC/SB/01/25 ya tarehe 28/08/2025 iliyoandikwa na Raymond N. Mwema; ukinitaarifu...
1 Reactions
6 Replies
513 Views
Wakati huu moto unaendelea kuwaka inatakiwa aibuke mtu mmoja mwenye kauli za kuchochea kama vile Lema, Lusinde, Lissu, marehemu Ndugai, Askofu Gwajima n.k Mtu ambaye yeye kazi yake itakuwa ni...
45 Reactions
123 Replies
5K Views
Mlimbwende kutokea kwenye kiwanda cha filamu Tanzania na aliyekuwa Miss Tanzania, Wema Sepetu ameweka wazi Rais Samia kumrahisishia mazingira ya kazi zake kupitia taasisi yake ya Wema wa Mama na...
1 Reactions
11 Replies
672 Views
Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo. Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa...
12 Reactions
36 Replies
2K Views
HUU NDO MSIMAMO WANGU WA UCHAGUZI WA 2025 Kwanza acha ni-declare interest mimi siandiki uzi huu kwa sababu ya kusaka cheo au teuzi bali kuna mambo nataka uyaone kwa jicho la utofauti Misimamo...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
Najinasibu kwa kuwa consistent on issues! Kwa muda mrefu nimeulizia na kushawishi juu ya uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote ...ikiwa ni mbinu ya kistratejia kufikia uhuru wa kweli na...
8 Reactions
78 Replies
13K Views
Hii ni kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na baadhi ya vijana waliomaliza na kunufaika na mikopo kutoka bodi ya mikopo. Ukweli ni kwamba Upinzani ambao sasa wanajiita Ukawa waliipinga sera ya serikali...
2 Reactions
91 Replies
8K Views
Wasalaamu wadau wa JF, Kama taifa zipo nyakati tutapaswa kuzipitia zipo nyakati ngumu tutapaswa kuzipitia. yapo ya kujitolea na wapo wa kujitolea kama wana Taifa ili tu Taifa lisonge mbele. Ipo...
1 Reactions
6 Replies
695 Views
Ngerengere ni Kitovu cha Biashara,Kilimo na Uchumi. Hili ni eneo linalokuwa kwa kasi na hupokea wageni wengi ikiwemo kutoka Congo, Rwanda na Burundi. Kwa umuhimu huo basi ni busara kuboresha...
3 Reactions
47 Replies
1K Views
Ukiona ukaribu wa huyu mtu na Rais Samia si bure. Kuna jambo na mimi kwa akili yangu nimeanza kuamini anayoongea Polepole kuwa yana ukweli asilimia Mia moja. Kwanza kwanini Kizinga from no where...
22 Reactions
39 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…