Je Unadhani Mzee Mtei alikuwa sahihi au angeruhusu Mtu yoyote tu agombee kama wanavyofanya Chaumma?
Na siyo kwamba Chadema haikuwa na Watu mashuhuri walikuwepo ila mwenyekiti Mtei aliiweka...
Hata kama ni Kwa baiskeli,
Haya mambo ya Miaka 10 tutakuja kuleta watu waturejeshe tulikotoka,
Nimejiridhisha anapendwa kuliko yoyote Duniani kwa sasa.
Wakati ukifika tutaongea Kwa sauti.
Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz amekuwa ndani ya mifumo ya CCM tangu mfumo wa vyama vingi nchini unapoanza
Wakati wa Mzee Mkapa alikuwa ndiye Mhazini wa CCM baada ya kifo cha Salome
Nawatakia...
Niweke rekodi sawasawa hapa jamvini na nieleweke vyema na ninatoa "challange" kama kuna mwanajamvi yoyote ndani ya JF aliyempenda na kusimama na The Late John Pombe Magufuli na ajitokeze !
Yapo...
Jana CCM wamezindua kampeni zao za uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba.
Kama ilivyo ada, wametoa ahadi kadhaa.
Moja ya ahadi zilizo kamata usikivu wangu ni hii ya kuunda tume ya upatanishi...
Sahivi wasanii karibia asilimia 85 ni CCM najaribu kuwaza tu Siku CHADEMA, CUF, ACT wakaTakeover wataendelea kuipambania CCM kama sasa? au watakuwa kwa wenye madaraka kwa wakati huo.
Kuna ka mfanano kati ya Kamala Harris na Samia suluhu
1. Wote ni wanawake ambao wamekuwa Makamu wa Rais wa nchi zao kwa Mara ya kwanza
2. Wote wamerithi kugombea kiti cha Urais kutokana na wenza...
Ndugu Temba Gaspar Erasmus mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa na Watu wasiojulikana akiwa anatoka kwenye moja ya Benki jijini Arusha.
Taarifa zaidi kukujia
Kesho saa 4 asubuhi, ofisini Dodoma, Swagaswaga House, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ametangaza kuwa atazungumza na Waandishi wa Habari juu ya Mambo mbali mbali yanayohusu...
Habari zenu Watanzania!
Leo mungu amenipa kibari ili niweze kuongea nanyi machache hasa yanayoendelea hapa nchini kwetu
Kwanza kabisa nataka niwakumbushe hasa kuanzia 2015 hadi 2021 march. Hiki...
Kwa mwaka mmoja tu uliopita, mtu angekuambia CHADEMA itakuwa kama ilivyo leo ungebisha sana. CHADEMA imefanya some strategic blunders ambazo zimekigharimu chama pakubwa.
Moja nikubadili uongozi...
Nimefuatilia hatua kwa hatua mijadala ya Pole pole na kugundua wazi kuwa, kuna mamilioni ya watanzania wanamfuatilia kwa kina Pole pole kile alichokiongea na wengi wao wanamuelewa na kumuamini...
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud Said, amesema moja ya ajenda zake kuu endapo atapewa ridhaa ya kuongoza ni kuruhusu ulimaji wa bangi kwa matumizi ya...
Wakuu!
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham, amebebwa na mwananchi mmoja wakati wa ziara ya kukagua barabara iliyoharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo.
Kupata...
Imekuwa ni fashion kwa wanasiasa kila anayekwenda Mara lazima aende kwenye kaburi la Nyerere. Imekuwa ni kasumba ya kwenda kujikosha ionekane kwamba wanafuata misingi ya Mwalimu. Lakini hebu...
Aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Esther Matiko Jumapili Juni 29, 2025 ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Tarime Mjini kupitia chama tawala...
Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja. Hii inachelewesha usafirishaji wa abiria na mizigo
Shida ni nini?
1. Speed ndogo ya ujenzi wa...