Kama mtanzania ambaye nimempigia kura Mheshimiwa Lissu mara mbili kwenye chaguzi zilizopita (jimboni na uraisi), naamini hajafanya kosa la uhaini na hayo ni mashtaka ni ya kutengeneza na hewa...
Katiba yetu ndiyo sheria kuu kuliko zote na kuwanhakupaswi kutungwa sheria inayokinzana na katiba.
katiba inatoa ruhusa kwa raia kuchagua au kuchaguliwa, lakini ikatungwa sheria kuwa ili...
"The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed."
— Steve Bi
Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
Wakuu,
Siglada kama Siglada, ila SISIEMU :KEKLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: haya sasa vikao vyote vitakuwa vinarekodiwa, mkileta maigizo watu wanawatolea kanda muwaoneshe steling alisimama...
Wakuu,
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema haijapokea taarifa rasmi kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kusudio la kutohudhuria hafla ya utiaji saini wa Kanuni...
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, ameweka wazi msimamo wake kuhusu hoja zinazoibuliwa na baadhi ya wanasiasa wa upinzani kuhusu unyonyaji katika mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye zao la...
Naona tume (Huru) imetangaza kesho ni lazima vyama vyote vinavyotarajia kuingia kwenye uchaguzi vikasaini fomu za maadili ya uchaguzi..
Soma Pia: Tume, serikali na vyama vya siasa kusaini maadili...
Mtumishi wa Mungu wa Huduma ya Kristo, Steven Jacob amefichua mpango wa Chama cha Mapinduzi kuwafuta wabunge wote wa Kanda ya Ziwa na kuweka watu wao sikiliza kwa makini video hii inayofichua...
Wakuu
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, alipaswa kutoa taarifa muhimu kwa umma kuhusu masuala ya uchaguzi kupitia vyombo vingi vya habari ili...
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania.
Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki...
Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema;
"Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu...
Bila Shaka hamjambo!
Hata Wana CCM wengi wamechoka kuabudu na kuogopa baadhi ya familia za viongozi.
Hakuna mwana CCM anayependa kuwa Chawa, au mzazi anayefurahia kuona mtoto Wake aliyemzaa...
Najaribu kuwaza tu kinachoweza kutokea, aidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya , any cause of harm or worse, death of Lissu while in your custody, tawaeleza nini watanzania na dunia?
Muachieni...
Mwanadiplomasia Nguli na aliyekuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Ktiiba Nchini amegongelea msumari wa No Reform no Election.
Amebainisha hayo akisema kwa sasa uchaguzi umepoteza maana kabisa na...
Makamu Mwenyekitu CHDAEMA, John Heche akiwa anaongea na waandishi wa habari April 12, 2025 ikiwa ni baada ya kutangazwa rasmi kuwa CHADEMA kwa kutofika kusaidi kanuni za maadili ya uchaguzi...
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.
Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi...
Serikali imeahidi kulipa madai ya fidia ya shilingi bilioni sita kwa wananchi waliotoa maeneo yao ili kupisha ujenzi wa Kiwanja wa Ndege Kilwa Masoko mkoani Lindi kabla ya Juni 30 mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.