Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hilo halina ubishi, mimi mwenyewe niliishi naye kinafiki, hata huyu wasasa naishi naye kinafiki cha msingi msimwambie sawa jamani? Ila Rais mzalendo alikuwa JPM tu, nasema uongo ndugu zangu...
3 Reactions
14 Replies
799 Views
Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Mgombea urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir, ameonesha utofauti kwa kutinga na usafiri wa bodaboda kwenda kuchukua fomu ya kuwania urais. Soma Pia: GE2025 - CCM Zanzibar yatangaza Ratiba ya...
3 Reactions
15 Replies
906 Views
Hii aina ya siasa anayofanya polepole ndio aina ya wanasiasa wengi Tanzania ambao hawana malengo wanatumia majina yao kuwashawishi na kuwadanganya WANANCHI kuwaminisha kuhusiani na gharama za...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Ahadi za CCM na rais kuhusu huduma bure za Afya, kuruhusu maiti, kununua matrekta nk ni ahadi nzuri sana. Lakini ahadi zote hazina maneno kwa namna gani tutapata fedha za kuweza kuwezesha ahadi...
3 Reactions
17 Replies
711 Views
"Tuna mpango maalum wa kufanya mtoto wetu wa Kitanzania, akifika darasa la Tatu ajue kusoma, kuandika na kuhesabu bila shida ili aweze kwenda vizuri madarasa ya juu." - Mgombea Urais wa CCM, Rais...
13 Reactions
69 Replies
3K Views
Kwenye kesi mshitakiwa ndie huhitajika awalete mashahidi wake yeye mwenyewe sio kazi ya mahakama au serikali mfano katika kesi ya Mahalu kama mshitakiwa alisema shahidi wake Raisi Mkapa .na...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewasihi waandishi wa habari kuendelea kutekeleza majukumu yao...
2 Reactions
11 Replies
675 Views
Hakuna kidumucho milele Huu ni ukweli mchungu na mzito ambao inawezekana kuna binadamu wengi hawapendi kuusikia. Huko nyuma ziliwahi tokea tawala za Kirumi, Ottoman, Persia, Nazi na nyinginezo...
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewakumbusha Watanzania kuhusu ahadi za Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizoziahidi kutekeleza...
2 Reactions
23 Replies
956 Views
Wakuu, Jana ilikuwa inatembea clip mitandaoni ikimuonesha Diamond akisema Watanzania KILA AWAMU MNALALAMIKA Hii ni March 2018 jamaa alikuwa analalamikia ngoma zake kufungiwa na BASATA...
0 Reactions
3 Replies
996 Views
Mpaka sasa ndo naona anajitutumua na kutamani apate teuzi ili aweze mtetea Samia vizuri. Wengine ni kama wamechoka. Tumsaidie Eze Kamwaga tumtie moyo huyu maana Mtandao kama tunaanza tengwa na...
1 Reactions
13 Replies
644 Views
Kwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho. Imetosha.
18 Reactions
86 Replies
4K Views
Mwanahabari mwandamizi na mchambuzi wa siasa za bara la Afrika, Ezekiel Kamwaga, amesema Watanzania mara nyingi husahau matukio muhimu yanayojiri nchini mwao kiasi cha kushindwa kuthamini na...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Kama Kuna wakati ccm imebanwa kutoka ndani ukiacha upinzani ni wakati huu. Mimi najiuliza kama wakiendelea namna hii na sioni kama wanaona hatari inakuja mbele yao. Je wakichukua Dola kama...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Wakuu mambo ni MAZITO sana sana. Kumbe Mwinyi mwaka 2020 asingekuwa Rais. Licha ya Juhudi za Magufuli kwenye Kikao Cha Halmashauri Kuu kuwauliza kama Wajumbe wa MTU wao , baada ya Magufuli...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Upanuzi wa Marufuku ya Kusafiri kwa Misri, Tanzania, Zimbabwe, Dominika, Saint Lucia, Bhutan na nchi nyingine 30. Jumapili, Juni 15, 2025 Marekani imependekeza upanuzi mkubwa wa sera yake ya...
10 Reactions
68 Replies
4K Views
Hii ni hospitali binafsi iko opposite na Mount Meru-Arusha, kwanza kukaa mkabala na mount Meru ni kimkakati kupata wateja. Haya mahospitali hayana madaktari walioajiriwa wanategemea madaktari wa...
1 Reactions
5 Replies
388 Views
Hii kampeni ya Yanga nyuma yake lipo jambo zito, lengo lao sio kupata hivyo vijisenti vyako, lengo ni kuitumia kutakatisha fedha kisha club kupata mgao wa mabilioni. Kuanzia kwenye dirisha dogo...
4 Reactions
8 Replies
752 Views
Tundu Lissu ni nani? Ni nuru katika mwanga wa haki. Hakuzaliwa Tanzania ili auze sura. Alikuja hapa kuamsha kitu kilichosahauliwa ambacho ni Haki. Si mwanadamu katika maana ya kawaida. Yeye...
0 Reactions
1 Replies
235 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…