Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

‼️TUJIKUMBUSHE‼️ Ripoti ya 2018 ya CAG - Mkaguzi na Mdhibiti mkuu kuhusu Daissy General Traders ilisema: “Nilifanya Ukaguzi huu kufutia maombi kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
1 Reactions
7 Replies
555 Views
Huyo Dogo britanicca uwa ni mod au ? Maana Kuna threads yapata mbili napita naona amegonga Kuna na Hii hapa kando...
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Kwa mnyukano huu jinsi ambavyo sasa umekuwa dhahiri na watu kutajana majina na kutuhumiana juu ya kifo cha Magufuli basi ni dhahiri kabisa ili wazalendo wawe wameshinda basi kwa vyovyote vile...
3 Reactions
5 Replies
467 Views
Jeshi la Polisi kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 66 cha Sheria ya Udhibiti wa Silaha na Risasi ya Mwaka 2015...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
CCM itakuwa kama ZANU ya Zimbabwe. Mugabe hivihivi alipuuza watu akabaki madarakani lakini nchi ndiyo ikamuacha. Kubali madarakani bila nchi kuwa moja ni mbaya. angalieni zimbabwe na ubishi kama...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Nikiwaita wajinga mnakasirika. Kutwa kutwa mnakesha kufuatilia habari za uzushi kutoka kwa Mange Kimambi na Polepole ambao wao pia ni wana CCM ambao mfumo umewakaanga. Polepole ana madudu mengi...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
1. Bei ya bundle ni kubwa kuliko Cuba? Maana wanyonge tunateseka kimya kimya hakuna pa kusemea. wengine biashara zetu bila internet tutakufa njaa. 2. Internet ni huduma si biashara Born town...
6 Reactions
15 Replies
824 Views
Huyu mtu ameshachafuka sana na ni hatari kwa kundi zima kwani kuna siku anaweza kutakiwa kuwataja wenzake katika kundi. Kwa msingi huo, mimi naona yuko hatarini kwasababu wanasiasa...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York...
4 Reactions
128 Replies
5K Views
Kufikiri unaongoza nchi wakati 50% na zaidi ya watanzania wanajua hujafanya chaguzi !!! ni ujinga. Watanzania wa leo sio watu ambao wanachelewa kujua ukweli kwasababu ya techmnologia na elimu ya...
1 Reactions
7 Replies
522 Views
MBIO ZA KUKINADI CHAMA CHA MAPINDUZI MKOANI GEITA ZAANZA KWA KISHINDO 📌 Majimbo 7 kati ya 9 yapita bila kupingwa 📌 Kata 92 kati ya 122 zapita bila kupingwa 📌 Maelfu wakusanyika kusikiliza Ilani...
0 Reactions
6 Replies
514 Views
#Uchaguzi2025 "Serikali yangu itakuwa ya mchaka mchaka ya masaa 24 na baraza langu la mawaziri litakuwa baraza la mawaziri 15, lakini hilo baraza litafanya kazi utadhani kuna mawaziri 100 kwa...
1 Reactions
12 Replies
753 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, leo Septemba 2, 2025, akiwa kwenye mkutano wa kampeni katika Kata ya Saranga, amewahamasisha...
0 Reactions
2 Replies
328 Views
Mama hajiamini ingawa ni Rais kwasababu anaogopa wale ambao anafikiri wanamzidi ujuzi. Kwasababu ya kutojiamini kunaleta utamaduni wa kujipendekeza ili Mama aweze kukuamini kama wewe ni msomi...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Huyu jamaa amegewe Ile michango ya madon pale mlimani city abuye akae kimya. Watu wana bills za kulipa unaleta ujuaji!
1 Reactions
11 Replies
750 Views
Huenda wengi wenye mawazo au mtazamo wa kutoshiriki uchaguzi au kutokupiga kura uchaguzi mkuu wa october2025, wanapitia changamoto hiyo mtambuka ya afya ya akili kwasasa, na kujikuta wakiwa na...
0 Reactions
4 Replies
319 Views
Mr President, Ningekuwa na muda ningekueleza mengi sana. Muda wangu ni kidogo sana ndiyo maana nashindwa hata kupost mambo mengi kuhusu taifa hili hapa JF. Ninatuma post hii si kwa lengo la...
148 Reactions
1K Replies
155K Views
Polepole yupo sawa kabisa gas za kupikia na mafuta Cuba ni ndogo sana kwasababu hawapati na hawalipi bei ya sokoni wanapewa kama bure kutoka Venezuela kwasasa Cuba nayo inapeleka madakrati na ni...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
1. Ndugu zangu yale maombi ya Baba Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima (PhD) yamejibu? 2. Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe! Lucas Mwashambwa Isanga family ChoiceVariable...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee Salaam wana jamvi. Mara trekta milioni...
34 Reactions
86 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…