Kushikiliwa Kwa waandishi wa habari wa JAMBO TV na Manara TV Jijini Arusha Arusha*
Nimepata taarifa usiku huu za kushikiliwa Kwa Mwandishi wa habari Baraka Lucas wa Jambo TV Arusha na...
Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM.
Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala...
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.
Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura...
CHAUMMA walidhani ma press conference ya kila siku kuwa ndo siasa zenyewe.
Sahivi wanalia kilio na kusaga meno, Hadi kwenye mitandao ya kijamii Hawa post chochote kinachousu kampeini.
John Mrema...
Na ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio...
Na wenzetu tuwasombee watu wa kwenda kwenye Mikutano yao. It isnt fair kuwaacha ukiwa. Kama ambavyo tunajaza kwetu na Chauma nao wajaziwe watu. Tusiwanyanyapae wametusaidia sana.
https://www.youtube.com/watch?v=vjOkard2ik0
Mwanasiasa mkongwe Zitto Z. Kabwe ameanza mchakato wa kampeni za kuwania Ubunge, leo Jumamosi tarehe 6 mwezi wa 9, 2025 anazindua kampeni Mkoani Kigoma.
Habarini za mchana, mwendo ni ule ule oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa๐ค yatatokea mauza uza
Uzi huu utaangazia mauzauza hayo hili la leo la kuipa vikwazo JF litahamasisha zaidi wana...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia anapendwa na watanzania ni haijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu. Mama anapendwa kuliko kitu kingine chochote kile hapa Duniani. Mama...
Ndugu zangu Watanzania,
Hiyo ni Kauli nzito ,kauli ya Matumaini,kauli ya kijasiri ,kauli iliyoleta matumaini,furaha ,tabasamu kwa watanzania. Ni kauli ya kiuongozi yenye kuonyesha umadhubuti...
KAULI HII YA KAFULILA INAFUNGA MJADALA
Na Mwandishi Wetu,
Dar es Salaam, Katika mahojiano ya moja kwa moja kupitia kipindi maarufu cha DK45 kinachorushwa na runinga ya ITV kila Jumatatu...
๐ฅ๐๐๐ฆ ๐๐๐ง. ๐ฆ๐๐ ๐๐ ๐๐ง๐ข๐ ๐ ๐จ๐๐๐๐๐๐ข ๐๐๐๐ก๐ฌ๐ ๐๐ช๐ ๐ช๐๐ก๐๐ก๐๐๐ ๐ช๐ ๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ข
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikiliwa watuhumiwa 18, akiwamo Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Felius Kinimi, wakituhumiwa...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro aliyemaliza muda wake na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Njau, amefika katika Jimbo la Hai na kuzungumza na wananchi wa jimbo hilo lililopo...
Ufisadi ni kansa inayoyatafuna mataifa ya kiafrika ikiwemo Tanzania.
Fikiria fedha zilizoibiwa kupitia Kagoda, Escrow na hata hizi anazotuhumiwa Angela Kiziga. Zisingibwa na wahuni wa CCM...
Kuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini
Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri
Chuki za kisiasa zimekithiri!?
Nauliza tu maana hakuna anayeikosoa CCM akiwa hadharani labda yule mchagga tu Mchungaji Malisa
Sasa kwanini kama ni Ukweli utolewe huku Watoaji Ukweli huo wamejificha?
Ni hilo tu
Mlale unono...
Jesca
Popote utaposimama na ukaona watu wamekushangalia sana, sababu ni Legacy aliyoacha JPM
Usije kulewa kesho ukaja kuwadharau hawa maskini, ukipata ridhaa simamia kile baba ako alikisimamia...