Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais...
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!! Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CCM mkoani Njombe, Deo Sanga amesema Humphrey Polepole amechanganyikiwa kutokana na utendaji mzuri wa Rais Samia Suluhu ambao hakuutegemea. Akiongea leo Septemba 05, 2025, mjini...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mgombea wa kiti Cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali inaenda kufanya tathimini ya...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na...
11 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakuu, Kupitia mitandao ya kijamii, chama cha ACT Wazalendo wamedokeza kuwa leo wana jambo lao zito ambalo wanataka kuwawasilishia wananchi. Ni jambo gani? Fuatilia uzi huu, ujue nini...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo. Katika ziara hiyo Waziri wa Maji...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi amesema wanaohamasisha maandamano wana mahali pa kukimbilia vurugu zikitokea, hivyo amewasihi wananchi kutowasikiliza.
3 Reactions
16 Replies
887 Views
Mbunge wako ameshawahi kuwasilisha hoja kama hizi bungeni? Huyu ni mmoja wa aliyewahi kuwa mbunge katika bunge la kenya miaka iliyopita na hapa alikuwa akiwasilisha hoja zilizolenga kuboresha...
3 Reactions
9 Replies
637 Views
Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Kampeni zao zimedorola hazina mvuto. Na hawafuatilii kampeni zao kabisa ila labda kama kuna tukio kama ile ajali ya Lori na wafuasi wao Morogoro. Kwa ujumla hakuna upinzani. Swali la msingi ni...
6 Reactions
16 Replies
852 Views
Siku 10 za Gwaji hazijafika kweli au zimepitiliza na kweli shingo haipiti kichwa
1 Reactions
4 Replies
332 Views
Wakuu! Nimekuta na hii Video ikimuonyesha mmoja wa walinzi walioambatana na Rais Samia ameanguka ghafla wakati Rais anawasili kwenye mkutano wa kampeni Mbalizi mkoani Mbeya asubuhi ya leo.
27 Reactions
251 Replies
17K Views
Kauli Mbiu ya Maadhimisho Miaka 61 ya Muungano "Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Muungano Wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu ya Taifa: Shiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025".
1 Reactions
3 Replies
366 Views
Kwa sababu tumewekeza heavily kwenye kulalamika basi hakuna kitu kitakacho badilika katika hii nchi na hakuna mageuzi yalio wahi letwa kupitua kulalamika, labda ianzuea Tanzania na wengine waje...
0 Reactions
1 Replies
146 Views
Mange amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa na familia za viongozi wa juu, wakitapanya mabilioni kupitia “deals.” Swali linalojitokeza ni: hivi kweli familia hizi hazina hata chembe ya busara ya...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Gharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo la kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Tangazo hilo kabambe linaongeza siku za Mashujaa za Tanzania kutoka Moja na Kuwa Mbili limetolewa na Wananchi Wote wa Tanzania kupitia kwa Msemaji wao John Heche, Ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti...
21 Reactions
70 Replies
3K Views
Kwa kuanzia Mh Polepole amehoji, Ilikuaje Wassira akajinasibu mbele ya Vyombo vya habari kua Alikua yeye ndio atakua Makamo Mwenyekiti??. Sasa mnaweza kuunganisha Doti Doti !!!.
1 Reactions
2 Replies
738 Views
Nawaza tu kwa sauti Ofisi za Jf zimevamiwa je lengo lao ni nini? Na je wataishia apo au wataendelea Mfano ukatokea msako maofisini au kwenye kambi n.k zinakusanywa simu zote gafla bila kutarajia...
3 Reactions
8 Replies
617 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…