Katika Hali ya kushangaza Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMA katika kata ya Songambele aliposimamishwa kumuombea Kura mumewe badala ya kusema CHAUMA OYE badala yake akasema CCM OYEEEE...
Miongoni mwa kauli tata za aliyekuwa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ni pamoja na hii ''Uliwe kwanza ndipo ule, usipokubali kuliwa hautakula. Akimalizia kwa kusema sina...
DKT. SAMIA KUJENGA VITUO 50 VYA KUHIFADHI PARACHICHI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi wa Mkoa...
Baada ya jitihada za CCM Taifa kumbembeleza Ndugu Jackson Kangoye ajitoe kugombea Ubunge Tarime ili kumrahisishia Esther Matiko kushindikana, Tume ya Uchaguzi isiyo huru imeamua kumeungua mgombea...
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, ameahidi kuwa endapo atashinda Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, serikali yake itahakikisha elimu inatolewa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa wilayani Rungwe mkoani Mbeya, amesisitiza dhamira ya serikali yake kulinda maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha rasilimali muhimu...
Kama una cha kujifunza utajifuna na kufanya reformation. Hakuna anayejadili ulichokiongea maana wanajua unachowafanyia watanzania na ukweli wa MUNGU unajulikana.
Linganisha na trending ya...
Mgombea uraisi kupitia ticket ya Chama cha National Reconstruction Alliance (#NRA) Hassan Almas amewaahidi watanzania kuwa baada ya kuwa Rais atawalipa watanzania wote GB 200 kama fidia kwa wizi...
Badala ya Ule Ujumbe tuliouzoea wa kukataza watu wasipokee Rushwa ili kuchagua viongozi, Leo wameleta Ujumbe Mpya!
Huu hapa.
Unadhani kwanini wamebadili Maudhui?
Mkurugenzi wa Uenenzi na Mawasiliano CHAUMMA ndugu John Mrema (Pichani) akisalimiana na mgombea Ubunge kupitia chama hicho Jimbo la Hai ndugu James Mbowe kwenye muendelezo 2a kampeni za uchaguzi mkuu.
Jana majira ya mchana ziliibuka habari za kuvamiwa kwa Ofisi za JF Mikocheni.
Inasemekana wavamizi walikuwa wanamtafuta Ndg Melo.
Usiku wa Jana hiyo hiyo Mfanyabiashara mashuhuri Rostam Aziz...
Hapa kilichobaki ni Kulinda kura tu, baaaasiii.
Unaambiwa Umati ni Mkubwa kiasi cha vyombo vya habari kushindwa kuupiga picha kwa kuogopa kufungiwa.
Peter Madeleka- Hatuwezi kuleta mabadiliko...
Samia sio mjinga kubuni tume feki ya maridhiano ndani ya siku 100. Hii ni Kwa sababu anajua kushinda uchaguzi ni kitu kimoja na kuongoza taifa lenye mshikamano ni kitu kingine.
IDU ni muunganiko...
Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewashauri baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani kuendelea kushindana kwenye nafasi ya makamu wa kwanza wa rais badala...
Rostam anasema alikuwa Japan akiendelea na biashara zake ndipo akapata simu kutoka kwa Shujaa Magufuli wakasalimiana kwa kisukuma
Rostam Aziz anasema aliporejea nchini Shujaa Magufuli akasema...
Naomba niwaulize hasa viongozi wa dini wa kiislamu na kikristo kati ya hayo mawili kipi huanza ili kingine kifwate.
Mfano.
Mtu anaiba kura ukikemea unaitwa mchochezi Yani mwizi wa kura anakuwa na...
Ufisadi haulipi, Manji alidhani Waislamu hawajitambui akapora mali zao pale Chang’ombe sasa hayupo wanafaidi wengine!
Wako wanaodhani Ufisadi ni Sifa au Ujanja
Nawasihi wajitafakari sana
Mifano...
Kama itakua unafatilia kwa makin mikutano ya ccm basi utagunduq asilimia 40 au zaidi ni watoto
Watoto hawa wa kimaskin hukatizwa masomo yao shulen na kupelekwa katika mikutano wakati watoto wao...
Ujenzi ulioendeshwa kwa kasi na udhamini wa Rais. Ujenzi ulianza Desemba 2019 na ulifikia asilimia 85 ifikapo Machi 2024.
Katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mradi ulikua kwa...