Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia ACT Wazalendo Cyprian Musiba ameahidi kuzilinda kura zote atakazopigiwa na wananchi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Musiba amesema hayo Agosti 31...
1 Reactions
9 Replies
839 Views
Mpaka Sasa wagombea ubunge wafuatao ambao wamepita bila kupingwa na wanasubiria kura ya ndio au hapana. Majina yao ni yafuatayo: 1. Masache Kasaka Jimbo la Lupa 2. Ulimboka Mwamengo Jimbo la...
9 Reactions
69 Replies
4K Views
TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE...
1 Reactions
3 Replies
549 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kukusanya karibu bilioni 100 kupitia michango ya wafanyabiashara mbalimbali nchini. Hata hivyo, kuna masikitiko makubwa miongoni mwa wanachama na wagombea...
1 Reactions
5 Replies
465 Views
Wakuu habari, Tume huru ya uchaguzi Tanzania (INEC) imewakabidhi wagombea urais uchaguzi mkuu 2025 magari mapya aina ya LandCruise GX VXR Mpya ya 2025 zero kilometer. Haitakua busara Mgombea wa...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Ndugu zangu CCM kipindi hiki cha kampeni ili tuwezi kushinda kwa kishindo basi tuombe tuwe tunawekewe hotuba za Magufuli ikiwezekana kwenye redio zote za Tanzania hizi hotuba ziendane kama...
2 Reactions
10 Replies
592 Views
Mgombea Urais kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo amelalamikia Vyombo vya Habari kuwapa nafasi Wagombea wa upande mmoja na kuacha vyama vingine vikiwa havina...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, leo tarehe 31 Agosti, 2025 imekaa na kujadili rufaa kuhusu uteuzi wa wagombea Ubunge katika Jamhuri ya Muungano na Udiwani kwa Tanzania Bara zilizowasilishwa Tume...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
MGOMBEA wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atatumia mbinu ya kipekee katika mapambano dhidi ya rushwa. Doyo amesema...
1 Reactions
3 Replies
485 Views
James Mbatia, mwanasiasa mkongwe wa Tanzania, ametoa kauli nzito kuhusu hali ya kisiasa na namna watu wenye mawazo tofauti wanavyotazamwa vibaya na mfumo wa serikali. Katika mahojiano ya hivi...
1 Reactions
9 Replies
661 Views
Wakuu kuanzia jana naona vyombo vingi vya habari vilianza kurusha kuwa Paul Makonda atachukua fomu kesho (ambayo ndiyo leo) ikatangazwa uwepo wa nyama choma nk. Leo siku ya tukio 26 Aug, 2025)...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Serikali chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya maboresho ya miundombinu ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambapo hadi sasa kiasi cha shilingi Bilioni 104.5 zimetumika...
0 Reactions
2 Replies
421 Views
Ndio tumekubali tutakula kwa urefu wa kamba zetu,lakini unajua Kuna mbuzi wanakamba moja tu..? Wewe unakamba nyingi na nyengine wawezakuwa umezisahau ila zipo!.. sikufundishi ila sijui umewawaza...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Dkt. Bashiru Ally Niko hapa kuwaomba kura za Chama Cha Mapinduzi. Kwanza kama mwenyeji wa Dodoma, na pili kwa sababu tumepewa jukumu na Kamati Kuu pamoja na Halmashauri Kuu ya kuratibu shughuli...
1 Reactions
2 Replies
469 Views
Sote ni mashuhuda kwamba, katika kampeni za chaguzi mbalimbali zilizopita, ilizoeleka kuskia kampeni za matusi, fujo, vurugu, migomo, kususa na maandamano haramu ya ghasia yenye lengo la kuvuruga...
1 Reactions
20 Replies
705 Views
Akiwa kijana wa miaka 31 tu, alishinda Jimbo la Vunjo kwa kishindo cha kura 83%. Baada ya miaka kupita ikaibuka migogoro ya kisiasa, chama chake kupoteza nguvu, na kimya kizito kilichoacha...
1 Reactions
2 Replies
293 Views
Kwa heshima kubwa naomba kutoa hoja. Nikiwa mwananchi na mdau wa demokrasia nimekuwa nikifuatilia kampeni za Wagombea wa Vyama mbalimbali, nina wasiwasi mkubwa kuona kwenye mikutano ya kampeni za...
0 Reactions
9 Replies
374 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa...
1 Reactions
14 Replies
953 Views
Wakuu, Mnakumbuka kuwa kuna waandishi na watangazaji siku hizi hatuwasikii redioni kabisa. Tulivyouliza tukaambiwa kuwa ni kwa sababu hawana taaluma au hawajasomea uandishi wa habari? Alitajwa...
0 Reactions
1 Replies
279 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…