Ahahaha 🤣 🤣 🤣
Hii nchi ina wajinga wengi kweli.
Tangu tupate uhuru honestly mtetezi wa kweli asiye na chembe chembe za utapeli, uoga, rushwa na asiye muoga ni Lissu. Watu wamemweka ndani kwa...
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki...
Bado kama Taifa yatupasa kuakisi agenda muhimu za uchaguzi.
Kwangu mimi bado narejea katika agenda mama ma za msingi zilizowahi kusemwa mara baada ya kuoata uhuru.
Bado kama Taifa...
Al maruhum Sheikh Yahaya Husein alitusimulia maono yake kua,baada ya JMK atakuja mtu mweusi,mchapa kazi halafu mchekeshaji.
Huyu atamaliza dakika arobaini na Tano za kwanza,lakini arobaini na...
Kuna kitu cha ajabu kidogo kinaendelea hapa Tanzania kuhusu magari yenye plate number zenye maandishi ya SSH zikifuatiwa na namba za 25 30, 2025 30, nk
Nimewahi kudadisi na kuchunguza kupitia...
Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amewatangulia wagombea urais wa vyama vingine kurudisha fomu ya uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndejengwa jijini Dodoma leo, Jumatano...
TANZANIA PROJECT 2035
VISION
Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Afrika kufikia mwaka 2070's in term of GDP na PPP
Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kufikia mwaka 2100's in term...
Sijaandika kama naota au nimekurupuka,
Japo CHADEMA chini ya Mbowe huwa hawapokei kabisa ushauri wowote ule, mwisho wa siku hawaendi mbali, na hawarudi nyuma kuangalia walipodondokea.
Mbowe ni...
Hadi sasa nipo njiapanda sijui nishike wapi, kwanza nina uchungu kwa tunayofanyiwa na tuliofanyiwa na tutakayofanyiwa yani nimechanganyikiwa hadi pumzi inatoka kwa shida kila nikizunguka Jf ,X, Ig...
Kwanza amewatia aibu na kuwaaibisha sana vijana wote Tanazania kwa kukosa utii na kugeukia unafiki na umbea ambao hauna maana wala faida yoyote..
Pili,
Ni wazi utovu wa nidhamu wa Hamphrey...
The Ngaka Coal Mine /Tundu Lissu's Arrest
The Ngaka Coal Mine, located in Mbinga District, Ruvuma Region, is the same mine that opposition leader Tundu Lissu was speaking about shortly before his...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kangi Lugola amepanda jukwaani kuzungumza na wananchi wa Mkoa wa Mara waliojitokeza kumpokea Mgombea Mwenza wa nafasi ya...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya 'Selfie' na Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa Kampeni za...
Sina chembe ya udini Ila nataka mnieleweshe imeandikwa wapi kwamba urais ni wa kupokezana ?
Imeandikwa wapi kwamba akitoka Rais mkatoliki anakuja muislamu?
Imeandikwa wapi wapi kwamba Rais akiwa...
Hapo chini ni Mapinduzi ya Kijeshi( Coup d'etat) yaliyowahi kufanyika kwenye nchi mbalimbali na kupata baraka na support za wananchi kutokana na UFISADI na DHULMA dhidi ya wananchi
Afrika
1...
Nadhani mnakumbuka Ile Serikali ya Wazalendo ilivyovurugaga bei za mazao ya wakulima hususani mbaazi ililosa wanunuzi na bei kuporomoka Hadi kuuzwa Shilingi 200 Kwa kilo.
Sasa Samia amefungua...
Naamini Lissu ana taarifa zote za yanayoendelea huku nje japo yeye yuko behind bars kwa tuhuma zisizo na kichwa wala migiu zaidi tu ya watu kutumia vibaya madaraka yao.
Hata hivyo, watesi wa...