Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .
Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Mheshimiwa Rais
Kwa heshima kubwa napenda kukuletea salamu za dhati na kukupongeza kwa dhamana kubwa uliyopewa na Katiba ya...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni...
Mbona nilikuwa naona kama anaweza kuwa mwenzetu!
Hawa watu hawako serious na watanganyika, .....ona mzaha anaowafanyia majuha wa Tanganyika!
Eti tuchagueni tutaleta katiba!
Hawa vijana wamekamatwa wakibomoa mabango ya mgombea Urais wa CCM, wanaiba mbao wanaenda kuuza kama kuni. Baada ya kukamatwa majibu ya huyu mmoja yameniacha na mshangao. Yani ameshajikatia tamaa...
Na hiyo itakua ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, kwamba Tundu Lissu atakua hana tena haki na atakua amepoteza kabi fursa, sifa na vigezo vya kisheria kugombea nafasi hiyo nyeti kitafa.🐒...
Kwa ufupi huna mpya. Vuguvungu la uchaguzi ndilo linakubeba mpaka jamii inakuona una madini.
Uchaguzi ukipita hutakuwa tena na maana mbele ya Watanzania.
Tengeneza app sasa hivi walipishe hawa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro baada ya kuidhinishwa na Halmashauri kuu ya chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu...
Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.
Lakini baada ya Polepole kuelezea...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro ameteuliwa na Chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka...
Kuna watu wanatolea mfano wa kushindwa kwa sera za Mwalimu Nyerere kwa kuhusianisha na DUKA LA KAYA. Enzi hizo wengine tulikuwa tunakimbizana na magari ya "Ugawaji" kwenye kila duka wanalosimama...
Kesi ya kupinga kuenguliwa kwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025), iliyofunguliwa na Bodi ya...
Mwanasiasa machachari na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecilia Paresso, ambaye pia aliweka nia ya kuwania ubunge...
Wakuu,
Samia akiwa anazungumza leo, huko Songwe kasema akichaguliwa atahakikisha umeme utakuwa mwingi na wa uhakika kiasi kwamba kutakuwa na umeme mwingine ambao watauuza kwenda huko Zambia
Nimekuwa nikifuatilia taarifa kuhusu uchaguzi wa mwaka huu. Kwa kweli tusibeze uamuzi wa CHADEMA kususia uchaguzi kwani umewasaidia sana viongozi, wagombea na wanachama wao angalau kuwa na usalama...
Habari wakuu!
Tanzania inapita kipindi kigumu katika historia yake ya siasa za kiti cha urais. Niwaelezee wachache:
1. Nyerere
Huyu alipofariki mwaka 1999 nilishuhudia msiba wake. Kipindi hicho...
Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye...
Wenye akili tu. Nyie mnaona kipi Cha maana kwenye Ilani hii? Machawa na wanufaika wa mfumo wao kazi yao ni kuimba tu mitano tena. Lakini ni kipi Cha maana ambacho tunakwenda ku present katika...
Mimi ni mdau wa jamii forum ,kero yangu baadhi ya wanasiasa waache vitendo vya kuwachukua wanafunzi kwenye kampeni za uchaguzi serikali ikemee matendo hayo haijalishi chama gani kinafanya matendo...