Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati Jon mrema na wenzake wako bize na press conference baada ya kuondoka chadema niliwashangaa sana Kwanini nasema hivi siasa ni imani ambayo unatakiwa uwajengee wananchi kwa mda mrefu na ina...
16 Reactions
13 Replies
1K Views
HAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamiaHAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamiaHAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamiaHAIJAPATAKUTOKEA...
1 Reactions
2 Replies
224 Views
Waliondoka CHADEMA sasa hivi wamerejea tena….. 🤣 Baadhi ya wanachama wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ambao awali walikuwa CHADEMA wamejivua uanachama wa chama hicho kutokana na changamoto...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, anapaswa apewe dawa, amekuwa mtu anayeongea mambo hovyo hovyo, ni mtu ambaye anaongea mambo bila kutafakari ni...
9 Reactions
71 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi wanabodi. Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id...
9 Reactions
8 Replies
854 Views
CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!? Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na...
22 Reactions
59 Replies
3K Views
Chama cha Kijamii (CCK) kupitia mgombea wa chama hicho, David Mwaijojele, wakati wa uzinduzi wa kampeni kitaifa wa chama hicho zilizofanyika viwanja vya kwa Tesha, Wilaya ya Temeke jijini Dar es...
1 Reactions
4 Replies
453 Views
Mkongwe anayezeeka huku akili zake zikiwa mpya atakuwa na kikao na wanaccm Arusha kesho saa saba mchana. Hii ndio CCM na hizi ndio kampeni
1 Reactions
5 Replies
375 Views
Chama cha Wananchi CUF kimesema endapo kitaingia madarakani kitahakikisha kinapambana na utekaji wa watu nchini ikiwemo na kuhakikisha kinaimarisha vyombo vya ulinzi na usalama. Akizungumza na...
3 Reactions
5 Replies
687 Views
Barabara za mwendokasi ni nyembamba na zina kingo kubwa ni uzembe kwa serikali kuacha madereva wa mwendokasi wanaendesha zaidi ya speed 40! Chanzo kikubwa cha ajali mabasi ya mwendokasi...
3 Reactions
11 Replies
541 Views
Ni kama analazimisha tu. Hana hicho kipaji.
1 Reactions
10 Replies
707 Views
: “The birds will be flying high tomorrow.” Caesar cipher seems to be used more than Vigenère cipher Continue Steganographying between RM and JK Britanicca
34 Reactions
206 Replies
14K Views
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendeleza programu ya "Tutunzane" ili kukomesha migogoro ya ardhi kati ya...
5 Reactions
18 Replies
714 Views
Mgombea yeyote wa Urais asipojadili Hatima ya Kilimo Kwa sisi mabilioni ya Wakulima wadogo nitakuwa nwakati mgumu kutoa kura yangu. Kama huwezi kufanya Agricultural transformation hao maskini...
7 Reactions
56 Replies
2K Views
January makamba alipokuwa waziri wa mambo ya nje alizindua mradi wa maghorofa ya vitega uchumi huko Nairobi tangu alipofurushwa kwenye nafasi yake hatujapata tena taarifa kama mradi unaendelea au...
1 Reactions
3 Replies
511 Views
Rais Magufuli anafungua majengo ya makao makuu ya Jeshi la Magereza Msalato Dodoma. Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV Updates; Rais Magufuli ameshafika eneo la tukio, dua imesomwa na...
16 Reactions
84 Replies
11K Views
Rais Magufuli anafungua kiwanda cha ngozi kinachomilikiwa na tajiri maarufu nchini Dr Rostam Aziz Kihonda mkoani Morogoro. Tukio liko mubashara TBC Channel ten na ITV Up dates; Rais Magufuli...
16 Reactions
176 Replies
22K Views
Kampeni zimenogeshwa sana na hoja ya JK ya kupangua hoja za wachukia CCM. Kwa sasa CCM yetu ni hoja za wenye chuki binafsi tu ndiyo zinatutesa. Tukiweza kuzipindua hizo basi tunashinda vizuri...
1 Reactions
5 Replies
555 Views
Kwa sasa wananchi hawana haki kwa jambo lolote kwenye siasa za Tanzania, hawana haki ya kujichagulia wawakilishi wanao wataka maana zoezi hilo lipo mikononi mwa watawala nadhani sasa hakuna haja...
2 Reactions
7 Replies
576 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…