Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tulipata fununu huko JamiiForums na kuambiwa kama mambo yakiharibika kabisa basi pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili na ndani ya kikao hicho...
24 Reactions
43 Replies
3K Views
Kosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Tanga na aliyewahi kugombea ubunge wa Jimbo la Tanga, Omari Ayoub, amesema kuwa kazi kubwa iliyosalia kwa sasa ni kuhakikisha Rais Samia Suluhu Hassan anashinda...
2 Reactions
6 Replies
395 Views
Mwentekiti wa CHADEMA Taifa alipohutubia Wananchi wa Bamba Bay akataja kuhusu Makaa ya Mawe, hii ilikuwa Aprili 9, 2025, kilichofuata baada ya hapo....
10 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Tanga, Ramadhan Omary Agosti 24, 2025 ameongoza kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Tanga kilichoketi kwa ajili ya masuala mbalimbali ya Jumuiya ndani ya Mkoa huo kuelekea...
1 Reactions
5 Replies
550 Views
Jimbo la Maswa Mashariki, kuhusu kutorudishwa kwa aliyekuwa Mbunge Stanslaus Nyongo kuwania tena ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kurudi kwa jina la Dkt. George Lugomela. Baadhi ya...
1 Reactions
5 Replies
968 Views
Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania 1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe . 2)Chama...
4 Reactions
13 Replies
877 Views
Hivi sasa Wanasiasa wetu walio wengi wamejikuta wako uchi mfano wapinzani imethibitika kuwa siyo Wapinzani ni kwamba wako uchi Covid 19 wanagombea kupitia ccm maana yake wamejikuta wako uchi...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Nasikitika kusema kwamba CCM kwa mara nyingine imepoteza Mwelekeo. Kwa sasa CCM inawaheshimu zaidi Matajiri kuliko walengwa wa Chama ambao ndio walikuwa shabaha kubwa ya waasisi kuanziaha Chama...
1 Reactions
0 Replies
197 Views
Mbona tayari mambo yalikuwa yashaisha? Kushitukia, tayari kukaomba mkopo sjui wa kufanya nini na wakati Korona ilikuwa tayari ishapita JPM hakutaka hiyo mikopo tena kwa wakati ambapo nchi...
3 Reactions
1 Replies
215 Views
Kwakuwa wameamua kushupaza shingo. Hawataki kufanya reforms. Na kwakuwa mamlaka waliyonayo yanatoka kwetu sisi wananchi japo wao wanadhani yanatoka kwa 'WAHUNI' in Balozi Polepole's voice. Hebu...
1 Reactions
1 Replies
228 Views
Hapo vipi. Naona kuna vita ya visasi bado inaendelea baina ya familia hizi 2 za kisiasa, na hili ni kwasababu familia moja, ina nguvu ya maamuzi katika kipindi hichi. Mimi ni mmojawapo wa mtu...
15 Reactions
79 Replies
4K Views
Rais Samia Suluh Hassan, Afanya Tanzania kama Kitovu cha Nishati Afrika Mashariki Serikali yake imeanzisha mikataba ya kuunganisha gridi na nchi jirani (Kenya, Zambia, Burundi, Uganda). Hii...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Akizungumza na wanahabari Julai 31, 2025 Kada wa Chama cha Mapinduzi Cyprian Musiba ameeleza kuwa mchakato wa kuchagua watia nia ubunge unafanywa hasa kwa kujuana ndani ya chama hicho akidai ili...
0 Reactions
4 Replies
566 Views
Watu wachache sana nimeambiwa na waandikishaji 7. Kati yao 4 ni kutoka Dar. Wanasema mwitikio ulikuwa mdogo sana pamoja na kuongeza siku za kuandikisha bado watu hawakujiandikisha. Kuna mambo...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema elimu ya watu wazima sio tu elimu ya masomo ya kawaida, bali ni zana muhimu ya maendeleo endelevu, kwani inachangia kipato, ustawi wa kijamii, afya na ushiriki...
0 Reactions
1 Replies
368 Views
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu. Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA Kurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inautaarifu umma kuwa Bw. Gerva Bernard Lyenda ameteuliwa kuwa Mkuu wa Idara ya Habari wa Kurugenzi...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
"Mimi natamani rais wetu ajaye awe na umri kama wangu wakati nilpoingia madarakani wakati ule,..,umri wa miaka miaka 55..kwa sababu hizi kazi zinachosha sana ukiwa na umri mkubwa" Hayo ni maneno...
2 Reactions
3 Replies
485 Views
Wanamitandao kuanzia 2026 ni kumaliza madini, gas, mbuga- . Hakuna biashara itapita bila Rostam kuhusika
1 Reactions
0 Replies
357 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…