Tulishuhudia kwa Magufuli 2020
Walioshinda kura za maoni hawakuteuliwa, wakaja kuteuliwa mpaka walioshika nafasi ya tano..!!!
Imefika 2025, Samia nae hivyohivyo, Wagombea walioshinda wamekatwa...
WATANZANIA VIGEU GEU SANA
nI SISI TUMEKUWA TUKILALAMIKA
VIONGOZI WAMEKUWA VINGANGANIZI
HAWATAKI KUPUMZIKA
TOKA JANA NAONA MITANDAON KILA MTU.UMMY OOR UMMY. OOH WANANCHI WAMERUDISHA KADI...
Hellow!
Ushauri huu ni mzuri, Hawa wastaafu wa Tra kwa mfano, wakistaafu, wafungue pia biashara zile zile walizokuwa wakiwabana wenzao walipe, nao iwahusu.
Ameshauri wastaafu serikalini ifike...
Link Down Below
https://www.youtube.com/watch?v=tcNQ0ZEdV8c
Rostam Aziz anamiliki hisa katika kampuni kadhaa zinazojihusisha na uchimbaji madini ya makaa ya mawe, hasa kampuni yake ya Taifa...
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ummy Mwalimu ambaye alikuwa na amehudumu katika wizara mbalimbali hapa Nchini ikiwepo Wizara ya Afya .ambayo alikuwepo kama Waziri wake mara ya mwisho kabla ya...
Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.
Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro...
Mughonile!
kanisani leo tumesoma Yohana 17:22-23, ambapo Yesu anaomba kwa Baba:
"Nimewapa utukufu ambao Umewapa mimi, ili wawe wamoja kama sisi tulivyokuwa wamoja mimi na Wewe, Mimi ndani yao na...
Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amefanya mazungumzo na Bw. Ando Naoki, Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan...
Na Ummy Mwalimu kutoka kwenye ukurasa wake mtandao wa Instagram
Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu...
Wakati vyombo vya habari hapa nchini vikisuasua kuhusu mlipuko wa bomu lilosababisha vifo katika mkutano wa CHADEMA jana, hizi ndizo habari zilizoandikwa na magazeti ya nchi za nje...
Kiukweli baada ya operesheni 255 , Matumaini ya Watanzania wengi yameongezeka mno!
Cha kufurahisha ni kwamba Hata wenzetu wana Usalama nao wameanza Kutabasamu.
Ama kwa hakika Tanzania mpya...
Sasa hivi tumeona wimbi la wachimbaji wadogo na wa kati kutoka Zanzibar, siyo wachimbaji tu, hata polisi waliopo sasa hivi hapo Mererani ni wazanzibari, Samia na familia yake wanahusika kwa kiasi...
Chadema itakuwa wapinzani wa Kweli pale Tundu Lisu atakapokuwa huru na kufurusha mapandikizi yote akina Wenje nk kisha kuijenga Chadema Mpya kama shujaa alibyoijenga CCM Enzi zake
Kama Tundu...
"Chama chetu kimetekwa, lakini bado tunaendelea kuwatia moyo hasahasa mwenyekiti wetu afanye mageuzi makubwa ya Chama cha Mapinduzi, atuondolee kundi la wanamtandao kisha atuwekee mchakato mpya...
Salaam!
Je, ni sawa kupanga kujenga mnara pasipo kukaa chini na kupiga hesabu juu ya gharama zake?
Siasa ni sayansi, je ni sawa chama Cha siasa kumpitisha mgombea asiyekubalika ,asiyekidhi...
Nyinyi tuunganisheni Nguvu wote na Kanisa, Tuwafurumushe Hawa wahuni
Fikiria wewe ni mwanaCCM, umepiga kura, Mgombea wako kashinda Kwa Kura nyingi
Alafu Wanamtandao kutoka Halmashauri Kuu...