Kuna Askofu ame shauri kwamba Kiongozi akistaafu, basi astaafu kikweli kweli, sio mguu moja Ndani , mwingine nje, Kwani huko ninkulitakia Taifa shida au migogoro.
Wanachama wanaodaiwa kuwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Nachingwea mkoani Lindi, wameonekana wakirudisha vifaa mbalimbali na kadi za chama hicho, chanzo kikielezwa kuwa mgombea...
Ummy amekatwa kwa kukataa kumuinamia Malikia . Mama alijua Ummy hamuheshimu kama kiongozi ndani yake kama ilivyokuwa kwa Magufuli. Tatizo lake halikuwa utendaji bali ni kisasi
Mtia nia wa urais Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud akizungumza na wahariri leo Agosti 23,2025 amesema kuwa suala la mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM ni tuhuma...
Hii ni stori ya kweli mwana jf,
Binafsi nilikulia Namanga Makangira, ni karibu sana na makazi ya Makamu wa Rais, yaani.kwetu kama tungevamiwa na majambazi tukampiga kelele za Mwizi hakika Makamu...
Tulipata fununu huko JamiiForums na kuambiwa kama mambo yakiharibika kabisa basi pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili na ndani ya kikao hicho...
Kosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na...
Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Tanga na aliyewahi kugombea ubunge wa Jimbo la Tanga, Omari Ayoub, amesema kuwa kazi kubwa iliyosalia kwa sasa ni kuhakikisha Rais Samia Suluhu Hassan anashinda...
Mwentekiti wa CHADEMA Taifa alipohutubia Wananchi wa Bamba Bay akataja kuhusu Makaa ya Mawe, hii ilikuwa Aprili 9, 2025, kilichofuata baada ya hapo....
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Tanga, Ramadhan Omary Agosti 24, 2025 ameongoza kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Tanga kilichoketi kwa ajili ya masuala mbalimbali ya Jumuiya ndani ya Mkoa huo kuelekea...
Jimbo la Maswa Mashariki, kuhusu kutorudishwa kwa aliyekuwa Mbunge Stanslaus Nyongo kuwania tena ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kurudi kwa jina la Dkt. George Lugomela.
Baadhi ya...
Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania
1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe .
2)Chama...
Hivi sasa Wanasiasa wetu walio wengi wamejikuta wako uchi mfano wapinzani imethibitika kuwa siyo Wapinzani ni kwamba wako uchi
Covid 19 wanagombea kupitia ccm maana yake wamejikuta wako uchi...
Nasikitika kusema kwamba CCM kwa mara nyingine imepoteza Mwelekeo.
Kwa sasa CCM inawaheshimu zaidi Matajiri kuliko walengwa wa Chama ambao ndio walikuwa shabaha kubwa ya waasisi kuanziaha Chama...
Mbona tayari mambo yalikuwa yashaisha?
Kushitukia, tayari kukaomba mkopo sjui wa kufanya nini na wakati Korona ilikuwa tayari ishapita
JPM hakutaka hiyo mikopo tena kwa wakati ambapo nchi...
Kwakuwa wameamua kushupaza shingo. Hawataki kufanya reforms.
Na kwakuwa mamlaka waliyonayo yanatoka kwetu sisi wananchi japo wao wanadhani yanatoka kwa 'WAHUNI' in Balozi Polepole's voice. Hebu...
Hapo vipi.
Naona kuna vita ya visasi bado inaendelea baina ya familia hizi 2 za kisiasa, na hili ni kwasababu familia moja, ina nguvu ya maamuzi katika kipindi hichi.
Mimi ni mmojawapo wa mtu...
Rais Samia Suluh Hassan, Afanya Tanzania kama Kitovu cha Nishati Afrika Mashariki
Serikali yake imeanzisha mikataba ya kuunganisha gridi na nchi jirani (Kenya, Zambia, Burundi, Uganda).
Hii...
Akizungumza na wanahabari Julai 31, 2025 Kada wa Chama cha Mapinduzi Cyprian Musiba ameeleza kuwa mchakato wa kuchagua watia nia ubunge unafanywa hasa kwa kujuana ndani ya chama hicho akidai ili...
Watu wachache sana nimeambiwa na waandikishaji 7. Kati yao 4 ni kutoka Dar. Wanasema mwitikio ulikuwa mdogo sana pamoja na kuongeza siku za kuandikisha bado watu hawakujiandikisha.
Kuna mambo...