Tanzania, kama nchi nyingine duniani, ina viongozi. Yafuatayo ni majina ya baadhi ya viongozi ambao, kama utaombwa kuyaelezea au kuwaelezea unavyowakumbuka, wapenda, wachukia, ubora, uhovyo, nk...
Kwa wale wakongwe tulisoma shule ya msingi vile vitabu vya Someni kwa Furaha tunakumbuka. Kuna ile hadithi mtoto anamwambia mwenzake simile motokaa yangu.
Anamtahadharisha asimuharibie kigari...
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, akizungumza na Wawakilishi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitisha Baraza la Kidigitali linalotarajiwa kuketi saa 4:30 asubuhi Agosti 27, 2025.
Taarifa iliyotolewa na CHADEMA leo Agosti 25 imeeleza:
Akizungumza leo Agosti 25,2025 kwa njia ya mtandao mbunge wa zamani wa Kawe Askofu Josephat Gwajima Amesema, Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya...
1. Askari magereza aliyemsukuma Lisu, alinuka mpk kufikia hatua ya kuchomwa kisu na kufariki.
2. Ndugai aliyemsulubu Lisu kwa kumnyima stahiki zake, alinuka mpk kufikia hatua ya kulazimishwa...
Ni kwamba vyama vya siasa vyaendeshwa na binadamu kama CCM Hivyo kama CCM ni waoongo. kwa ubinadamu wao basi na wenzao ni binadamu huwa wakati mwingine husema urongo. Sasa sema hayo mambo ya...
Hawa polisi mbona kama wanamtetea Dogo janja kwanini wamsemee yeye tu na si kumskiliza na aliyejeruhiwa? Wanasema alivamiwa, alivamiwa kivipi mtu yupo kwenye gari lake? mbona wanajaribu kufukia...
Watanzania washajifia kiakili kwahiyo MTU aendelee kujisumbua kuwatetea hawa watu ujue ajutambui.
@Tundulissu achana na huo mchezo mjinga huwa haoambaniwi.
Heshima sana wanajamvi.
Mbunge wa Monduli Fred Elowassa kaliwa kichwa pamoja na kushinda kwa kishindo kura za maoni.
Ikimbukwe katika msiba wa Baba yske Fred Marehemu Ngoyai Mzee Chikwete...
Je, Chadema wanaoingia CCM ni kwenye wanaipenda. Msiyoyajua kichini chini wengine ndiyo wapeleka habari kwa Chadema.
Mfano moyoni Kitila ambaye alipelekwa Chadema anawapa habari nyingi sana...
Jina: Charles Mhando Njama
Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania
Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Jimbo: Korogwe Mjini
Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana.
Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya...
Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Salma Kikwete, amewasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Lindi Mjini kwa ajili ya kuchukua barua ya utambulisho.
Barua...
Kuna Askofu ame shauri kwamba Kiongozi akistaafu, basi astaafu kikweli kweli, sio mguu moja Ndani , mwingine nje, Kwani huko ninkulitakia Taifa shida au migogoro.
Wanachama wanaodaiwa kuwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Nachingwea mkoani Lindi, wameonekana wakirudisha vifaa mbalimbali na kadi za chama hicho, chanzo kikielezwa kuwa mgombea...
Ummy amekatwa kwa kukataa kumuinamia Malikia . Mama alijua Ummy hamuheshimu kama kiongozi ndani yake kama ilivyokuwa kwa Magufuli. Tatizo lake halikuwa utendaji bali ni kisasi
Mtia nia wa urais Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud akizungumza na wahariri leo Agosti 23,2025 amesema kuwa suala la mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM ni tuhuma...