Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Naomba msaada kwa anayeweza kupenyeza ujumbe huu kwa Mh.Mbunge Saashisha Mafue wa Jimbo la Hai na Serikali sikivu ya Ccm. Hivi karibuni Serikali ilianza zoezi la kusambaza nguzo za umeme wa Rea...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Askofu Mwamakula anesema wanaomba Maombi magumu dhidi ya kundi lililopanga kuiba Kura Kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema Mwamakula amekumbushia Maombi magumu ya 2020 na kile kilichoenda...
11 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakuu, Hivi ndio inavyotakiwa, sio viongozi wa dini wanageuka kuwa machawa na kuimba nyimbo za mitano tena wakati wanaona mambo hayaendi sawa. ==== "Madkteta wengi Duniani na hata hapa Afrika...
4 Reactions
4 Replies
706 Views
No reform no election ndiyo mwarubaini wa siasa za hovyo zenye kuendelea chama kimoja Cha siasa lakini....... Hebu angalieni serikali hii inavyomjali mwanasiasa haswa MBUNGE Mapesa mengi...
4 Reactions
17 Replies
997 Views
Nilisikia zaidi ya mara moja baadhi ya viongozi wa serikali kwa nyakati tofauti tofauti ikiwemo makonda wakiwakemea viongozi wa dini kuto kujihusisha na siasa au kuongelea masuala hayo kwenye...
3 Reactions
11 Replies
834 Views
Wakuu, Kengele nyingine hiyo kwa Watanzania kuamka na kurudisha uwajibikaji na kuchochea utawala bora. ==== Roland Ebole Amnesty International asema ni muda sasa kwa wananchi kutambua kwamba...
0 Reactions
4 Replies
499 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa wazazi hususani wakinamama kuwaongoza watoto wao hasa vijana kuacha tabia ya kushabikia vurugu wakati wa kampeni...
1 Reactions
14 Replies
756 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema hadi sasa hajaandika barua ya kuomba ruhusa ya kwenda kugombea ubunge hivyo yeye bado hana dhamira ya kuweka nia ya kugombea ubunge popote...
1 Reactions
3 Replies
374 Views
TAARIFA KWA UMMA MWENYEKITI WA CHAMA MHE. TUNDU LISSU YUPO GEREZA LA UKONGA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa mapema leo, tarehe 19 Aprili 2025, viongozi...
9 Reactions
81 Replies
6K Views
Toka naanza kufuatilia siasa miaka ile CCM wamekuwa wanatutisha kuwa tukichagua upinzani kutatokea machafuko Kuwa wao CCM ndo wanaoilinda amani ya nchi hii, upinzani hawawezi kuilinda aman, lkn...
2 Reactions
3 Replies
387 Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Joketi Mwegelo amepokea baadhi ya Vijana kutoka vyama vya upinzani na kujiunga na Chama cha Mapinduzi kwenye Uzinduzi wa #samiafirsttimevoters...
3 Reactions
10 Replies
554 Views
Wakuu, Suala la Lissu na uminywaji wa demokrasia na uhuru wa maoni Tanzania linazidi kusambaa, Watanzania huu ndio muda wa kuamka na kuhakikisha kuna utawala wa sheria wa haki. ===== Mtafiti wa...
0 Reactions
0 Replies
393 Views
Makamu Mwenyeliti wa CHADEMAB(Bara), John Heche amesema kuwa amekutana na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu katika Gereza la Ukonga anakoshikiliwa na kiongozi huyo amewataka wanachana wa...
12 Reactions
15 Replies
2K Views
Hatimaye leo aliyekuwa Kigogo mwingine wa Chadema amerejea kwenye Chama hicho. Anthony Calist Komu alikuwa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema na Mbunge wa Moshi Vijijini 2015-2020. Komu...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Sheikh Ponda Issa Ponda amesema hakuna chama cha siasa nchini Tanzania kinachohamasisha vurugu, bali zinaakisi uwepo wa tatizo fulani. Ameeleza kuwa mtu mwenye busara anapobaini dalili za vurugu...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Zaidi ya miaka miwili iliyopita, mnamo Machi 2023, Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, alitembelea Tanzania. Akiwa huko, alipokelewa kwa ukarimu na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye alikuwa...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Jokate Mwegelo amewataka Vijana ambao hawajiamdikisha kwenye daftari la Mpiga kura kwenda kujiandikisha ili waweze kufanya maamuzi ya kuchagua viongozi wanaowataka ili kuwakeletea maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema wabunge ambao hawakufanya vizuri katika majimbo yao wala kurudi kwa wananchi watambue Chama kuwa hakitakuwa ba namna ya kuwasaidia kwa sababu walipewa nafasi...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo ameongoza matembezi ya Maelfu ya Vijana ambao pia ni Wapiga Kura wapya katika uchaguzi mkuu mwaka huu 2025...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom