Wakuu hawa jamaa hii michezo Hawajaanza leo ni tangu miaka na miaka uko nyuma! Kwahiyo ata Aya yanayosemwa sasa ni marudio tu na ni kama hawa jamaa hii michezo washaizoea!
Nikiwa Mwanafunzi wa...
Namkumbuka Padre mmoja aliwahi kunihubiria kuwa ushinde ubaya kwa wema.
Yaani mtu mbaya anapokuletea ubaya usimjibu na waka usimtendee ubaya badala yake jikite kumpelekea wema.
Tujibu Ubaya kwa...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa zamani wa Misungwi, Charles Kitwanga, amechukua fomu ya kuwania tena ubunge wa Jimbo la Misungwi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kupata matukio...
Umewahi kujiuliza kama iwapo matakwa ya ndugu Humphrey Polepole yangetekelezwa angesema anayoyasema sasa mitandaoni kupambana na Rais Samia?
Siamini hilo. Haijalishi kama ni kweli au ya uongo...
Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya.
Kama ofisini kwa tume huru ya uchaguzi taifa tayari kuna picha ya mgombea urais maana yake rais ajae anafahamika tayari, kama mshamjua kwanini...
CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo .
Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba...
Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao...
- Tatizo hili linaendelea hata baada ya kukamilika mradi wa maji wa tanki la bangulo uliogharimu bilioni 36.8 na maji hamna Kinyerezi.
Wakazi wa Kinyerezi wapo katika wakati mgumu maji ya Dawasa...
Haki kama mnavyoona hapa kariakoaa aha ha 😄 🤣 😂 endeleeni kuchekea maCCM Narudia tena vikundi vyote Dar vimeagizwa kufika kawe bila kukosa maaana nauli wameshapewa we are still in the Stone age.
TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 Leo viwanja vya kawe vimependanza kwa kijani 2.TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea...
Kuna usemi "Dunia imejaa Werevu wenye Mashaka na Wapumbavu wenye kujiamini sana"
Uzoefu unaonyesha kwamba watu wenye akili nyingi mara nyingi wana shaka, wakati wasio na maarifa mengi huwa na...
Watu ambao hamuwajui CCM ndio nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na CCM na bado mnafata .
CCM ndio chama pekee kina watu intelligent kuzidi chama chochote.
Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala saba B huko Nzera
Chato Kusini, Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B
Pia elimu ya...
Tupo hapa Kawe
Nashauri CCM ikumbatie baraka hizi za Mungu wa mbinguni na ikiwezeka Mtume apite mikoa yote ya Tanzania na Zanzibar kuachilia baraka
Hii ni Funga kazi 🙏✔️
Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada...
Ndugu zangu Watanzania,
Pichani ni viongozi ambao wote walikuwa ni Wagombea Urais na Wote Wametangulia Mbele Za Haki.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake...
Huyo hapo kwenye video anaitwa Hamis Salum Hamis, ni mmoja wa watia nia kupitia CCM nafasi ya Ubunge kwenye jimbo la Meatu Mkoani Simiyu.
Hapo yupo katika moja ya kijiji uko kata ya Makao, na...
Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko
Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi
Kuna wale...
Lembrus Mchome na Monalisa Ndala watakumbukwa kuwa ni viongozi wa upinzani walioshirikiana na Msajili wa vyama vya siasa kuvuruga vyama vyao.
Lembrus Mchome aliishitaki CHADEMA kwa msajili...
Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni sijui ndo mtapewa afu tatu ya maji 😂
hapa ni kama naskia ule...